singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Maoni yangu
Hii ina maana kuwa Profesa Lipumba na Dk. Slaa walikuwa sahihi kujiondoa ukawa kwa kusutwa na nafsi za kukataa kupokea mafisadi na makapi na historia itawakumbuka katika hilo.
Na hii pia iwe fundisho kwa CUF kuwa wasiwe wenye kufuata mkumbo katika siasa, washirika wao chadema hawakuwa na nia nzuri kwao walitaka kuwapoteza kabisa na katika hili nadhani Seif Sharrif Hamadi anajutia nafsi yake kwa ujinga alioufanya.