CUF kulikoni?

tabu kuishi

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
353
43
Nashindwa kuelewa chama cha cuf kina matatizo gani? Kwa nini wafuasi wake wengi ni kundi la watu mbumbu wasio na uwezo wa kufikiri wala kutafakari na watu wasio nakazi wakaa vijiweni kama huamini nenda manzese darajani kuna tawi pale kika na kuwasikiliza utasema CUF ni chama chenye nguvu kumbe ni chama kinachosubiri siku zifike kifutike?
 
Nenda pia kariakoo utakuta wazee wamekaa tangu saa 1 asubuhi wanakunywa kahawa mpaka jioni hata sijui kazi wanafanya saa ngapi, tawi lipo pale zinapo park daladala za k/koo Mbezi au Mwenge
 
Nahisi mtatiro amepoteya yupo kwenye kundi ambalo halijuwe chochote kile wapo wapo tu wanasubiri miujiza ya mungu naomba wajfunzi kupitia makosa yao. Mtatiro huko siko ondoka mapema soma alama za nyakati
 
mimi niko huku k'koo ni ukweli kabisa! Zaid ni wazee na vijana wa kiswahil, wanaoshinda kunywa kunywa kahawa na ukiwachunguza utagundua hawana elimu kabisa! Tatizo lao wao wanaamini kuwa siasa ni ushabiki kama vile wa timu za Simba na yanga hivyo hata timu yako ifungwe vp bado wataendelea kushabikia

Nitoe mfano: Kuna siku hawa wazee nilibishana nao wakidai kuwa ile rangi nyekundu iliyo kwenye bendera cdm iliwekwa kutokana na shinikizo la CUF. Pamoja na najitihada zangu kujaribu kuwafafanulia Nasikitika sana sikuweza kuwabadilisha hata chembe!

Baya zaid hawa huwa hawachangamani kabisa na wengine, huwa wanakaa peke yao wakidanganyana
 
Huu sasa ndio ule ubaguzi tunaoukataa, ok wewe chama chako ni cha wasomi je kwa kula za wasomi pekee au wafanya kazi ndizo zitawaletea ushindi. Kama hawajaja kukuomba chakula kinakuuma nini wao kuwa washabikia cuf?
 
Nashindwa kuelewa chama cha cuf kina matatizo gani? Kwa nini wafuasi wake wengi ni kundi la watu mbumbu wasio na uwezo wa kufikiri wala kutafakari na watu wasio nakazi wakaa vijiweni kama huamini nenda manzese darajani kuna tawi pale kika na kuwasikiliza utasema CUF ni chama chenye nguvu kumbe ni chama kinachosubiri siku zifike kifutike?
Ndugu yangu kwani wewe unaishi nchi gani? kwani hata wafuasi wachadema wengi wao wamekaa kwenye vijiwe vya mbege tu au aina zingine za pombe mataputapu. Na wasiwasi na uraia wako. mfano nenda kaangalie machalii pale arusha wanachokifanya sasa hivi.
 
dah, bonge la bias ktk research yako. nenda arusha mitaa ya unga limited utawakuta wavuta bangi ndo wanazi wakubwa wa CDM yako. nenda moshi kwenye vilabu vya mbege, nenda milembe hospital afu uje na hizo outcomes zako kama hujachekwa humu.
 
ndugu yangu kwani wewe unaishi nchi gani? Kwani hata wafuasi wachadema wengi wao wamekaa kwenye vijiwe vya mbege tu au aina zingine za pombe mataputapu. Na wasiwasi na uraia wako. Mfano nenda kaangalie machalii pale arusha wanachokifanya sasa hivi.
wewe mimi ni mzaramo nilioendeleya huna haki ya kuhoji urai wangu wewe!!! Hama chama cha kipuuzi haya mia kwa wajanja hamna mjanja aliye cuf tembeya uone kaka!
 
nikutoelewa tu vijiweni ndipo mambo yanafanyika hata Cdm inawafuasi wasio wasomi napia wapo vijiweni vivyo hivyo ccm, na cuf, wangekuwa pale manze cdm usingesema na k/koo wala msinge sema mnatamani sana cuf ife na ifi n'go. Minipo makumbusho huku cuf ipo kinoma na diwani wetu cuf pia jirani zetu tandale nao pia cuf kinoma nadiwani wao pia ni cuf. Acha kuongea upumbavu mjinga we ina maana makumbusho hakuna wasomi fisi we.
 
acha lugha za matusi bana!
 
Nashindwa kuelewa chama cha cuf kina matatizo gani? Kwa nini wafuasi wake wengi ni kundi la watu mbumbu wasio na uwezo wa kufikiri wala kutafakari na watu wasio nakazi wakaa vijiweni kama huamini nenda manzese darajani kuna tawi pale kika na kuwasikiliza utasema CUF ni chama chenye nguvu kumbe ni chama kinachosubiri siku zifike kifutike?

mtake radhi maalimu seif..
 
kila chama kina vijiwe kwa kuwa watz wote wasomi na wasiokuwa wasomi ambao kimsingi ndo wengi wasipokuunga mkono huwezi kushika dola, ila cuf walishauriwa toka mwaka mwaka 2000 wajenge netwek na wasomi vyuoni wao wakabaki na wanywa kahawa ndo maana haya yanajiri kwa sasa.
 
Nashindwa kuelewa chama cha cuf kina matatizo gani? Kwa nini wafuasi wake wengi ni kundi la watu mbumbu wasio na uwezo wa kufikiri wala kutafakari na watu wasio nakazi wakaa vijiweni kama huamini nenda manzese darajani kuna tawi pale kika na kuwasikiliza utasema CUF ni chama chenye nguvu kumbe ni chama kinachosubiri siku zifike kifutike?

Mkuu lete mada kama Great thinker si kama mkaa kijiweni, lete facts (scientific) ku-support haya. Wakina Mtatiro wametoka wapi? Vijana kama Mkosa Mali wametoka wapi... na wengineo. Hatujadili mambo ya kijiweni humu!! We need facts, lete numbers with evidence to support them, tengeneza trend kwa mfano ya wanachama wapya...njoo na qf zao, na kazalika nakazalika, haya mambo ya kijiweni hatutaki.

Sepa bana.....
 
wewe mimi ni mzaramo nilioendeleya huna haki ya kuhoji urai wangu wewe!!! Hama chama cha kipuuzi haya mia kwa wajanja hamna mjanja aliye cuf tembeya uone kaka!

tatizo lako unafikiria kutumia masaburi.hufanyi utafiti kwa kuangalia historia.unakurupuka na kuja apa na pumba zako.tafakari kabla ya kusema na kutenda.
 
Kuna watu humu ndani wanatafta mabwana wa kuwaoa.ivi unaposema waswahili na wanywa kahawa vijiweni unamaana gani hasa.naona kuna ajenda unaificha af unadhan kila mtu ana tope kichwan km wewe..kwa iyo cdm ndo ya wasomi? Any wy kw ufupi hao waliopo vijiweni wakinywa kahawa wasio na elimu ni matokeo ya mfumo kristo uliotengenezwa kwa mda mrefu ambao cdm wanapambana kuuendeleza kwa uwazi zaidi apa tz.naapa hautafanikiwa.
 
Nashindwa kuelewa chama cha cuf kina matatizo gani? Kwa nini wafuasi wake wengi ni kundi la watu mbumbu wasio na uwezo wa kufikiri wala kutafakari na watu wasio nakazi wakaa vijiweni kama huamini nenda manzese darajani kuna tawi pale kika na kuwasikiliza utasema CUF ni chama chenye nguvu kumbe ni chama kinachosubiri siku zifike kifutike?
CUF ni mtambo wa kuzalisha siasa za maji ya chooni. Mtatiro ana kinywa kichafu anashiriki kuendesha siasa za maji ya chooni na ndo chanzo cha kufa kwa CUF bara.
 
Ndugu yangu kwani wewe unaishi nchi gani? kwani hata wafuasi wachadema wengi wao wamekaa kwenye vijiwe vya mbege tu au aina zingine za pombe mataputapu. Na wasiwasi na uraia wako. mfano nenda kaangalie machalii pale arusha wanachokifanya sasa hivi.
Wewe ni kilaza fanya tathimini kujua ni chama gani cha watu walioenda shule...bila shaka utakuja na jibu kuwa ni CDM
 
Huyu hajatoka kula majani kweli ? Si kawaida kuwa kashifu watanzania wenzake ama la anataka kuleta kuchonganisha Chadema hapa .Achapwe ban aende kwa Michuzi na Mjengwa wana blogu za kipuuzi no JF .
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom