Cuf kukalia viti vya chadema akuna usalama!!!!

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
MMhhh jamani kaka zangu ZITO,SUGU,MNYIKA LISU KWA HILI LIMENISHTUA INGAWA BADO NARUSHA MAOMBI KILA KONA KAMA WABUNGE WA CUF WALIKALIA VITI VYA CHADEMA KWA LENGO BAYA BASI MUNGU AKAWAPIGE WAAO NA VIZAZI VYAO NA WABUNGE WALIOPO WAKAWE USHUHUDA MUNGU SI WA KUCHEZEA..NA KAMA WALIKWENDA KUMFURAHISHA KIKWETE NA CABINET YAKE BASI MWENYEZI MUNGU AWASAMBARATISHE BUNGEN KWA MUDA WAKE ...MSIOGOPE SI KIFO UNAWEZA KWENDA INDIA UKAKAA UKO MPAKA BUNGE LIISHE MIAKA MITANO
 
chama cha CUF ndo kinaenda kufa hivyo. kwasasa, chadema ni mpinzani wa vyama viwili, cuf na ccm...watz wote wamegeuka sasa badala ya kupambana na ccm, wanapambana na cuf pia. ni wapinzani wanafiki sana, halafu ni wasaliti.

hiki ndo chama cha kidini ambacho labda kikwete alikuwa anakitangaza jana. CUF imejaa kwenye mwambao ambako kuna waislam, na slogan yao ni HAKI SAWA KWA WOTE, akimaanisha kuwa, waislam wamenyimwa mambo mengi, wamenyimwa haki na wakristo so cuf imekuja pale kuleta haki kwa waislam...swali hili huwa najiuliza siku zote haki gani wakristo tumewanyima waislam?....ni haki gani?...mbona shule zetu na mahospitali mengi tu selikali imechukua inaendesha,...kanisa ndo linaisaidia selikali....sasa haki gani hizo? na sisi hatuna ubaguzi hata kwenye mahospitali au shule zetu...nenda pale MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO ukaona kama kuna mkristo hata mmoja pale...matv na maredio tunayojenga, pamoja na shule na vyuo, tunachanga pesa kanisani..sisi huwa tunachanga.....na kwasasa chuo kikuu kingine kinajenga tena hapa iringa, kinajengwa na waanglican, so iringa will have four Universities..itakuwa ACADEMIC city sasa hata jina litabadilika....
 
TANU +ASP
CCM+CUF
NCCR+TLP
CHADEMA+?...........................(CHAUSTA,UDP,UPDP)

hahahahaahhh..........hahaaha
 
Nimesoma kwenye gazeti la Daly News hii ni sehemu ya habari
" IN a rather expected move, Chadema legislators on Thursday walked out of the Parliament shortly after President Jakaya Kikwete started his speech to inaugurate the august House.

Shortly after the president took to the podium, Chadema MPs led by the Leader of the Official Opposition in the House, Mr Freeman Mbowe, rose and started walking out as their colleagues from CCM and Civic United Front (CUF) shouted "shame ...shame" and booed them.
Chadema officials had earlier threatened to stage protests inside and outside the Parliament to show their disagreement with the results of the just-ended general election, which it claims was rigged.

The walkout briefly interrupted the president's speech who had to pause for about two minutes to allow the walkout. In what appeared to be an interesting gesture, CUF MPs moved in to occupy seats of opposition leaders and other Chadema legislators in an apparent show of solidarity to the ruling party............ "

Kwa hiyo unaweza kupata picha halisi ni nini kinaendelea.
 
Back
Top Bottom