CUF kubadili bendera yake

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Tulikuwa wakwanza mimi na Mwafrika kuleta habari za CUF kufanya mazungumzo ya siri na CCM. Sasa hivi kila mtu anajua kinachoendelea. Leo nawaambia tena CUF wanabadili bendera yao na itakuwa na Jembe na nyundo kama chama dume chao CCM. Msije shangaa Rev Masa nimeficha hii habari

Idumu CCM "A" na CCM "B"

8D6U9904.JPG

Kama haitoshi

images

CHADEMA tutaisambaratisha pole pole Mzee, bwa bwa bwa bwa bwah!

JK+%26+LIPUMBA.jpg

attachment.php
 
Kwani lazima utume kitu hapa JF. Kukaa kimya wakati fulani ni bora, UPUPU. kweli Mbuzi kalia, Ng'ombe kazimia.....
 
Plz he is free to post anytn so longer as hajatukana mtu!
Some of us like the post..

Just humour can do at tms nt seriousness all the tym!it is boring!
 
Kwani lazima utume kitu hapa JF. Kukaa kimya wakati fulani ni bora, UPUPU. kweli Mbuzi kalia, Ng'ombe kazimia.....

Si lazima usome kila kitu JF! kuna post kibao ukiona inakukera wewe chapa mwendo!
 
Asante Rev. Masanilo, upo sahihi kabisa, nakumbuka habari za awali mlizoandika hata kabla sijawa member. Kuna ukweli na ninaamini utakuja kuniletea NCCR nao wakibandika nyundo na jembe.

Thanks!
 
Kwani lazima utume kitu hapa JF. Kukaa kimya wakati fulani ni bora, UPUPU. kweli Mbuzi kalia, Ng'ombe kazimia.....

Acha chuki binafsi wewe mwache Rev atupe siri za ndani za ndoa ya mkeke ya ccm na cuf.
 
Habari za ndani zaidi CUF hawatasimisha wagombea uraisi 2015 bali watakuwa wakiisadia CCM mgombea wao bara na visiwani. Subirini time will tell
 
Rev Masanilo mimi nakuheshimu sana,lakini kwa hili naomba tutofautiane,CUF ni wasaliti wa upinzani na si mfano mzuri wa kuigwa katika safari yetu ya kwenda kwenye democrasia ya kweli!lakini haiwezi kufikia hatua hiyo unayoisema!labda uniambie ni watani wako,hata hivyo nijuavyo mimi CHADEMA si mtani wa CUF!
 
TUKU hebu pata glass ya maji! Angalia hii thread ipo kwenye forum gani!

CUF oyeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Rev Masanilo mimi nakuheshimu sana,lakini kwa hili naomba tutofautiane,CUF ni wasaliti wa upinzani na si mfano mzuri wa kuigwa katika safari yetu ya kwenda kwenye democrasia ya kweli!lakini haiwezi kufikia hatua hiyo unayoisema!labda uniambie ni watani wako,hata hivyo nijuavyo mimi CHADEMA si mtani wa CUF!

Sio wasaliti ndio democrasia yenyewe hiyo.Kwa maamuzi yao sidhani kama wamekidhuru chama chochote.
 
Rev Masanilo mimi nakuheshimu sana,lakini kwa hili naomba tutofautiane,CUF ni wasaliti wa upinzani na si mfano mzuri wa kuigwa katika safari yetu ya kwenda kwenye democrasia ya kweli!lakini haiwezi kufikia hatua hiyo unayoisema!labda uniambie ni watani wako,hata hivyo nijuavyo mimi CHADEMA si mtani wa CUF!

Democrasia ianzie kwenye chama kwanza hakikisheni mnabadili katiba ili mwenyekiti asiwe mtoa amri bila kufata taratibu. Viti maalumu asichangue mtu mmoja kuwe kuna maana pana ya democrasia watu wapigiwe kura na vikao halali vya chama. Hapo tutakuwa tumepiga hatua moja mbele kufikia democrasia ya kweli.
 
Tulikuwa wakwanza mimi na Mwafrika kuleta habari za CUF kufanya mazungumzo ya siri na CCM. Sasa hivi kila mtu anajua kinachoendelea. Leo nawaambia tena CUF wanabadili bendera yao na itakuwa na Jembe na nyundo kama chama dume chao CCM. Msije shangaa Rev Masa nimeficha hii habari

Idumu CCM "A" na CCM "B"

8D6U9904.JPG

Kama haitoshi

images

CHADEMA tutaisambaratisha pole pole Mzee, bwa bwa bwa bwa bwah!

JK+%26+LIPUMBA.jpg

attachment.php

Idumu CCM C
 
Attachments

  • Slaa akisalimiana na Pinda.jpg
    Slaa akisalimiana na Pinda.jpg
    23.9 KB · Views: 22
  • kikwete & slaa.jpg
    kikwete & slaa.jpg
    6 KB · Views: 24

Similar Discussions

Back
Top Bottom