Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Tulikuwa wakwanza mimi na Mwafrika kuleta habari za CUF kufanya mazungumzo ya siri na CCM. Sasa hivi kila mtu anajua kinachoendelea. Leo nawaambia tena CUF wanabadili bendera yao na itakuwa na Jembe na nyundo kama chama dume chao CCM. Msije shangaa Rev Masa nimeficha hii habari
Idumu CCM "A" na CCM "B"
Kama haitoshi
CHADEMA tutaisambaratisha pole pole Mzee, bwa bwa bwa bwa bwah!
Idumu CCM "A" na CCM "B"
Kama haitoshi
CHADEMA tutaisambaratisha pole pole Mzee, bwa bwa bwa bwa bwah!