CUF ionyeshe njia kwa waziri wake kukubali kujiuzuru

WATANABE

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
1,092
466
Kufuatia ajali ya meli iliyopoteza maisha ya watu zaidi ya 200 huko zanzibar, ni vyema vyama vya upinzania hapa nchini vikaanza kujenga utaratibu mbadala wa kuonyesha kuwajibika ambapo waziri hamad masoud hamad waziri wa miundommbinu na mawasiliano wa smz kutoka cuf akakubali kuwajibika kwa uzembe uliosababisha ajali hiyo.

Ikumbukwe kuwa kwa muda mrefu sasa mawaziri toka ccm wamekuwa wakikataa kuwajibika na uzembe unaosababisha vifo vya raia vya mara kwa mara kama vile mabomu ya gong la mboto, mbagala ajali za mabasi n.k.

Naomba kuwasilisha!!!
 
Back
Top Bottom