CUF: Ibara ya 94(1) ya Katiba ya chama ndiyo iliyotumika kumpata Katibu Mkuu wa Chama, Haroub Mohammed Shamis

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
IMG_20200701_123618_383.jpg
IBARA YA 94(1) YA KATIBA YA CUF CHAMA CHA WANANCHI NDIYO ILIYOTUMIKA KUMPATA KATIBU MKUU WA CHAMA. MHE.HAROUB MOHAMMED SHAMIS

Awali Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Prof. Ibrahim Lipumba alipendekeza majina ya wajumbe wawili wa Baraza Kuu kwenye Baraza hilo ili wapigiwe kura kama inavyoelekezwa na Katiba ya CUF-Chama cha Wananchi Ibara ya 96(1).

Wajumbe waliopendekezwa ni Mhe. Hamida Abdallah Khuweshil na Mhe. Haroub Mohamed Shamis na walipopigiwa kura na Baraza KuuMhe. Hamida alipata kura 27, Mhe. Haroub alipata kura 33 na kura 2 ziliharibika.

Baraza Kuu limemaliza Vikao vyake usiku wa Jana na Maazimio ya Baraza Kuu yatawekwa hadharani kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika muda utakaobainishwa baadae.
 
Back
Top Bottom