CUF iache unafiki

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Leo hakika hamad rashid amethibitika kuwa mnafiki.anataka kuungana na mrema? Anabeza kitendo cha kutotambua rais,hajui ni vipi lipumba kamzidi seif kura zbar? Jbu lipo kwenye muafaka wa kifisadi waliofanya na ccm.eti cdm wasome ishara za nyakati wakati wao cuf hawaoni kuwa wanapoteza nafasi ya kuwa wapinzani.halafu barwani analinganisha serikali ya zbara na ile ya kenya na zimbabwe na bmasifia.nimesema chadema wakikubali ushirikiano na vyama hivi mm najtoa na kuwa mlokole.hongera chadema,mbowe na dk.slaa kwa tamko lenu wananchi tumefurahi
 
Cuf ni ccm b,hili halina mjadala,hivi kwa sasa kwa upande wa zanzibar kipi ni chama cha upinzani?
Mwisho wa ubaya ni aiabu,waache hao cuf waendelee na ndoa yao na ccm then waone nini kitawatokea,
mpinzani siku zote ni mtu wa kukosoa kwa hoja,kukemea kwa lengo la kuleta mabadiliko,
kuwanyooshea vidole wale wote ambao ni malaya wa kisiasa.je cuf wanaweza kufanya hayo kwa sasa kwa ccm?
 
Sasa mie mpaka sasa sijawaelewa chadema hamumtambui Rais mbona mmeshaunda kambi ya upinzani bungeni na Rais ni sehemu ya bunge na mtaunda serikali kivuli itakayokuwa chini ya Rais au baniani mbaya kiatu chake dawa? au Chadema ni CCM C?
 
inasikitisha sana kwa chama ambacho kiongozi wake ni professor alafu wanafanya mambo ya kizamani kabisa.
Lipumba ameshakata tamaa kwani mara nne mfululizo anagombea na hazidi asilimia 10 ameona bora ajisalimishe kwa mafisadi.

Shame on him.
 
]inasikitisha sana kwa chama ambacho kiongozi wake ni professor[/COLOR] alafu wanafanya mambo ya kizamani kabisa.
Lipumba ameshakata tamaa kwani mara nne mfululizo anagombea na hazidi asilimia 10 ameona bora ajisalimishe kwa mafisadi.

Shame on him.

''a professor is a person who knows much about a very little thing''

hii ndo def. ya professor kama anajua uchumi basi hajui mambo ya siasa.....

kama anajua sikio hajui habari ya jicho.....

umenpata mkuu!!
 
CUF iache unafiki? Tabia ni kama ngozi ya mwili, huwezi kuibadili. Unafiki ni fani yao.
 
Sasa mie mpaka sasa sijawaelewa chadema hamumtambui Rais mbona mmeshaunda kambi ya upinzani bungeni na Rais ni sehemu ya bunge na mtaunda serikali kivuli itakayokuwa chini ya Rais au baniani mbaya kiatu chake dawa? au Chadema ni CCM C?

Legislative, Judicial and Executive. nilidhani president yuko kwenye Executive kumbe hata kwenye Judicial?? ulisoma shule gani wewe?
 
CUF wanashangaza kwelikweli. Hivi hawajijui bado kwamba siyo tena chama cha upinzani, pamoja na Hamad Rashid kujaribu kujikakamua. Isitoshe mara mbili -- baada ya chaguzi za mwaka 1995 na 2000 CUF waliyakataa matokeo ya urais kule Visiwani. CUF walisapotiwa na takriban vyama vyote. Inakuwaje leo, baada ya wao CUF kufunga ndoa na CCM wanaona Chadema haiko right kukataa matokeo ya urais.
 
Sasa mie mpaka sasa sijawaelewa chadema hamumtambui Rais mbona mmeshaunda kambi ya upinzani bungeni na Rais ni sehemu ya bunge na mtaunda serikali kivuli itakayokuwa chini ya Rais au baniani mbaya kiatu chake dawa? au Chadema ni CCM C?

Rudi shule rais si sehemu ya bunge
 
Sasa mie mpaka sasa sijawaelewa chadema hamumtambui Rais mbona mmeshaunda kambi ya upinzani bungeni na Rais ni sehemu ya bunge na mtaunda serikali kivuli itakayokuwa chini ya Rais au baniani mbaya kiatu chake dawa? au Chadema ni CCM C?

Unaiaibisha shule uliyosomea!
 
Mimi naona sasa tuna Chama kimoja cha upinzani Tanzania ambacho ni Chadema na waTZ wanlifahanu hilo.

Hivi vyama vidogo vinatakiwa viombe kuungana na Chadema au CCM kwa sababu havina uwezo wa kuunda kambi ya upinzani vyenyewe.

Hivi kweli CUF wako serious na hii nchi au wanatania. kwa sababu wao badala ya kuendelea kuwashawishi wananchi wawachague wanakimbilia kuungana na CCM hii inamaana wanakubaliana na CCM kwa mambo yote.

Ukiangalia asilimia 90 ya wabunge wa CUF wanatoka Zanzibar ambako wanamuungano na CCM then wanakuja bara wanataka kuungana na chadema je itawezekani jibu ni wazi.

Ukiangalia ni mbunge gani wa CUF alishawahi kusimama kutetea maslahi ya watanzania hadi akafukuwa bungeni jibu ni hakuna.

Sasa leo hii wanalalamika chadema haitaki kuungana nao wakati jibu wanalo, kwanini wakati wa kampeni wasiwaombe chadema waungane nao,

Issue nyigine ni kwamba CUF ipo zanzibar na ufisadi mwingi unatokea bara hasa kwenye madini, misitu, etc. je CUF watawezaje kusimamia mambo ya bara wakati wao wako bungeni kutetea Zanzibar inakuwa nchi.

Kwa upande mwingine TLP, NCCR na UDP ni mawakala wa CCM anayebisha atakuwa mgeni kwenye siasa za Tanzania.
 
CUF wanajua vema nini wanakifanya. Kwa makusudi wanasema haya ili kupata support ya watu wenye upeo mdogo. Wakati mwingine ni underestimation ya ni kwa jinsi gani watanzania wako informed kwa sasa. Ndugu zangu, amini msiamini kwa maneno haya tu wengi wanabaki bila ya kujua nini wakiamini. Werevu wanajua janja ya nyani. Kwa sababu wana uhuru wa kutoa maoni yao, waendelee. Plato, hawa CUF wanahitaji kusaidiwa, ka-njaa kanawapa shida kidogo. Ni wakati wa kuelimisha watu sasa. Ili miaka mitano ijayo kuwe na kundi kubwa la watanzania waelewa. Tujue kuwa kubadilisha watu ni kazi ngumu. Ila tuendelee, ukombozi uko karibu sana kuliko kazi hii ilipoanza.
 
CUF wanashangaza kwelikweli. Hivi hawajijui bado kwamba siyo tena chama cha upinzani, pamoja na Hamad Rashid kujaribu kujikakamua. Isitoshe mara mbili -- baada ya chaguzi za mwaka 1995 na 2000 CUF waliyakataa matokeo ya urais kule Visiwani. CUF walisapotiwa na takriban vyama vyote. Inakuwaje leo, baada ya wao CUF kufunga ndoa na CCM wanaona Chadema haiko right kukataa matokeo ya urais.

Hata siku moja I never expected Hamad Rashid anaweza kuwa crap namna hii. kweli njaa, uchu wa madaraka ni ibilisi. Besides, kwa bara mbunge wa pemba ni sawa na afisa mtendaji wa kijiji tu. They (CUF) can just go to hell.
 
Nani wakusoma alama za nyakati kati ya CUF na CHADEMA?
Nilipomuona HAmad RAshid akizungumza hivi Star Tv nilishangaa sana. Sijui kama anajua nini anasema. Nadhani kwa sababu tu sasa wao ni CCM. Bwahahahahahahahaha
 
Hivi kweli watu wanaamini kuwa katika uchaguzi wa mwaka 2010 Dr.Slaa ameshinda na CCM wamechakachua?- kweli mnahisi demokrasia tanzania imekuwa kiasi hicho- namaanisha maeneo yote ya tanzania- sio mijini tuu au watu wenye access na vyombo vya habari- mie nadhani CCm imekuwa consolidated sana vijijini hasa ukizingatia imekuwa madarakani miaka mingi so walishaweza kudevelop institutions in even remote places- kweli hii CHADEMA ambayo imeaanza kusikika bunge lililopita imeweza kufuta miaka zaidi ya arobaini ambayo CCM imekaa madarakani- TUSIYUMBISHWE NA USHABIKI- TUTUMIE LOGIC- naamini kuwa CCM wanaweza kuwa wamechakachua in some places- lakini bado nashawishika kuamini hata bila hiyo Slaa ASINGESHINDA! we are not there yet- Still along road to go.
 
Inawezekana Sokomoko ni product ya shule za kata! ambazo sisiem wanajisifu nazo !
 
Hivi kweli watu wanaamini kuwa katika uchaguzi wa mwaka 2010 Dr.Slaa ameshinda na CCM wamechakachua?- kweli mnahisi demokrasia tanzania imekuwa kiasi hicho- namaanisha maeneo yote ya tanzania- sio mijini tuu au watu wenye access na vyombo vya habari- mie nadhani CCm imekuwa consolidated sana vijijini hasa ukizingatia imekuwa madarakani miaka mingi so walishaweza kudevelop institutions in even remote places- kweli hii CHADEMA ambayo imeaanza kusikika bunge lililopita imeweza kufuta miaka zaidi ya arobaini ambayo CCM imekaa madarakani- TUSIYUMBISHWE NA USHABIKI- TUTUMIE LOGIC- naamini kuwa CCM wanaweza kuwa wamechakachua in some places- lakini bado nashawishika kuamini hata bila hiyo Slaa ASINGESHINDA! we are not there yet- Still along road to go.

Mawazo mgondo, fikiri kwa upana zaidi inawezekana you are limiting your thinking capacity or else you are taking it rightly.Mabadiliko yanapokuja huwa yanakuja kwa muda muafaka hayazingatii eneo.Jiulize Prof.Kahigi wa Bukombe shinyanga anatoka eneo la vijijini ambako wewe unaamini ni remote area, lakini ukimwangalia Emanuel nchimbi anatoka Songea mjini kwa wajanjanja.Hapo fikira zako zinagota hazitoi yale unayoyasadiki.Kifuupi muda wa mabadiliko ni sasa watu wote wamekwisha elewa whether ni wa kijijini au mjini.NDUGU BADILIKA ACHANA NA MAWAZO MGANDO UTAJUTA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom