CUF hatuendeshi mambo kwa kufuata ratiba za Marekani... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF hatuendeshi mambo kwa kufuata ratiba za Marekani...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Jun 12, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  .......................Wiki iliyopita chama cha CUF chini ya M/Kiti wake Prof.Ibrahimu Lipumba kilitangaza maandamano kuanzia pale Ubungo Mataa,na ujumbe wa maandamano haya ilikuwa ni kupinga mauaji ya kule Mara,Tabora na Kupinga kukamatwa kwa viongozi wake kule Tabora..Cha kushangaza nilistushwa pale nilipomsikia M/kiti wetu akihairisha maandamano kupitia TBC1 news bulletin...Na sababu ni kuwa wameombwa na Mtoto wa Mkulima asiye Mkulima Pinda wahairishe kwasababu kuna mgeni anakuja yaani waziri wa mambo ya nje wa marekakani Hillary Clinton...Nawauliza CUF je?
  1.Tunapanga ratiba zetu kufuata ratiba za marekani?
  2.Je,kuna uhusiano wowote kati ya matatizo yetu na ujio wa huyo mgeni?
  3.Je,uozo wa viongozi wetu unapaswa kusubiri huyo mtu atoke ndio utangazwe kwa ulimwengu?

  CUF acheni kufanya mambo kihuni.............
   
 2. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  CUF wamechemka...Sioni sababu ya wao kuhairisha maandamano...Yaani Serikali ya CCM inataka mgeni aone kila kitu poa Tanzania,huku wakibaka haki za msingi za raia wao na kuutoa uhai wa watu kirahisi..ARGGGGHHHHHHHHHHH!!
   
 3. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Chichiem bi bana!
   
 4. k

  kichapo2015 Member

  #4
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cuf ni zaidi ya chadema katika no 2
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  CUF si Chama Cha Ghasia na Maandano ndio maana wameweka mbele taswira ya taifa na itikikadi zitafuata, big up Lipumba kwa kuonesha tofauti baina ya chama kinachoongozwa na profesa na chama kinachoongozwa na DJ na xpastor
   
 6. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Ww nenda na bendera yako pale ubungo mataa nasi tutakuunga mkono, ww si kidume?
   
 7. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  sababu haina mantiki yoyote........yeye anyooshe maelezo kuwa amtii kauli ya kova
   
 8. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  kichapo2015
  Join Date : 10th June 2011
  Posts : 10
  Thanks 0
  Thanked 0 Times in 0 Post
  Rep Power : 0

  Napata shida kweli kuelewa maana ya hiki ulichoandika, tafadhali toa ufafanuzi kidogo bosi.
   
 9. m

  muhimili Member

  #9
  Jun 12, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nampa big up lipumba, kumbe anaelewa ni kipi kilianza kati ya utaifa na chama, kweli lipumba chama kitakufa lakini tanzania ni milele
   
 10. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  tuienzi serikali ya umoja wa kitaifa ya zanzibar jamani?
   
 11. T

  Tanganyika jeki JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ndoa hii ya cuf na ccm kiboko! Sasa cjui bibi ni nani na bwana ni nani?
   
 12. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hawana jipya,walitaka kuvuma japo kwa week moja ila hawawezi sababu upepo wa kisiasa ushawakimbia,wameshindwa kuthubutu hawata weza tena.
   
 13. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Nauliza tu... hivi muwekezaji kwenye ule mgodi wa Nyamongo anatoka nchi gani vile??
   
Loading...