CUF hali mbaya, wakutana makao makuu kujadili athari za kumfukuza Hamad Rashid

MANGUNGO

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
1,536
352
Leo wanajadili hali ya kisiasa ya chama hicho,baada ya kumfukuza hamad rashid.kwanini wamjadili rashid?source chanel 10
 
Wamechelewa sana,kwanza wakiri hamad kawatikisa ndo baada ya hapo wajadili ujanja hautawasaidia
 
..hakuna athari zozote zile.

..ukifanyika uchaguzi leo hii CUF itashinda Pemba, na CCM itashinda Unguja.

..huku Tanganyika, CUF wako kwa ajili ya kutimiza masharti ya kisheria.
 
Bahati mbaya sana, majuto ni mjukuu! ingekuwa vipi wangerejesha siku nyuma ili warudi siku ile waliitisha kikao cha kumfukuza Rashid, ili wabadili maamuzi!
 
CUF wamefulia kimawazo, halafu kun ombwe kubwa sana la uongozi baina ya viongozi na watu wanaongozwa.
 
Ni bora CDM mngekuwa busy kutafuta majibu ya tuhuma za ufisadi zinazomkabili Slaa na hawara yake! CUF wamefanya kikao cha kawaida cha baraza kuu,jina la HR halikutajwa kabisa! CDM tafuteni mchawi wenu sio CUF!
 
Ni bora CDM mngekuwa busy kutafuta majibu ya tuhuma za ufisadi zinazomkabili Slaa na hawara yake! CUF wamefanya kikao cha kawaida cha baraza kuu,jina la HR halikutajwa kabisa! CDM tafuteni mchawi wenu sio CUF!

CUF sio mchawi wa CHADEMA bali ni mchawi wa wawatanzania wapenda maendeleo! haiwezekani wewe uko kambi ya upinzani kwa sababu uliona sera za chama tawala hazifai, ghafla unabadilika na kuanza ushirikiano wa kimasilahi binafsi na chama tawala na kuwasaliti wapinzani wenzako na wananchi! dhambi hiyo haitawaacha salama.
 
Nilimuona mtatiro kwa picha ya tv jioni kavaa ile pama yenye cdm colour huku akiwa kashika kijiko..kulikuwa na mnuso coz penye kyela mara nyingi mtatiro lazima awe mbele
 
Back
Top Bottom