CUF haitoshiriki uchaguzi mdogo wa marudio katika majimbo 3 na udiwani kwa kata 6

Nini faida ya kushiriki jambo lisilo haki. Ccm haina aibu chama kikubwa kinaibia wadogo zake
 
Vyama vyote vya upinzani vikomae hivyo hivyo, sio kila mwaka mnafanya uchaguzi usiokuwa huru mnaambulia kupigwa na polisi na kuwekwa ndani, daini kwanza haki ya tume kuwa huru, haiwezekani DED, mkuu wa wilaya na wengineo ambao ni makada wa ccm wakasimamia uchaguzi, watu hawa ndio chanzo cha vurugu katika chaguzi zetu. Wito wangu kwa NEC ,wakati umefika wao wenyewe ndio waende katika majimbo yale matatu wakasimamia uchaguzi kama trial, ili wajionee matatizo halisi ya chaguzi hizo sio kukaa ofsini, kwa kuwa ni majimbo machache waende,wajigawe wafanye wao ili wapate uzoefu, baada ya hapo watoe report yao kwa vyama vya upinzani ili uwe muelekeo mzuri kwa uchaguzi wa mwaka 2020. Tume hii imekuwa ya kukaa ofsini na kusubiri report kwa njia ya simu au maandishi, ambapo wasimamizi waliko kule hawasemi ukweli? sasa kwa nini Kailima asichague jimbo moja yeye akaenda kusimamia?
Ww unafikiri hawajui? It is purposely planned kwamba itokee hivo
 
CUF ni moja tu, ile iliyo chini ya Seif na ndiyo yenye Baraza la Wadhamini. Yule mganga njaa ameambiwa na mahakama kuwa hata Baraza lake la wadhamini haliruhusiwi kujihusisha na chochote kinachoihusu CUF.
Ahsante sana kwa taarifa kiongozi.
 
Back
Top Bottom