Elections 2010 CUF Haina Uongozi wa Nguvu na Unaona Unafiki wa Kunuliwa na CCM!

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Chama Hakijui Kimeshinda Huko Zanzibar na Wanafikiri Wamependelewa Ushindi Huo. Fikra za Maskini Ndizo Zinaisumbua CUF na Watanzania Tumeshagundua Wamenunuliwa na CCM. Upinzani Atuhitaji CUF na Hata Wakiwa Upande Wetu Sidhani Kama Wanaideas Zozote Zile. Uchaguzi 2015 Wataadhibiwa Vibaya Vibaya. Tunaoifahamu Siasa na Kufuatilia Maendeleo Tanzania Tuwaweke CUF Kwenye Rada Kila Siku ya Bunge ili Wananchi Wafahamu Nani ni Mpinzani wa Kweli na Wapinzani Wapi Wanaiweka CCM Kwenye Pressure Kubadilisha Direction ya Inchi Yetu.
 
Kwa kweli CUF hawana tena ubavu wa kuipinga CCM kwa sababu ni mshirika wao katika serikali na wengi wa viongozi wake mahiri wataingia kwenye serikali ya mapinduzi Zanzibar na huo ndio utakuwa mwisho wao. Tatizo lingine la CUF hawana viongozi wazuri huku bara ukiacha Lipumba. Viongozi wao wengi makini wanatokea Zanzibar hilo pia ni tatizo kubwa kwao.

TLP wanajulikana aina ya mbunge waliyempata...UDP na NCCR-Mageuzi ni yale yale...wateule wa CCM
:A S angry:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom