CUF haina cheo cha mwanasheria mkuu wa chama, aliyetiwa bei asijikweze kutaka kujinenepesha mnadani

Cuf kuweni makini. Hawa waliojiondoa hakikisheni uanachama wao unakoma kisheria na kwa mujibu wa taratibu na katiba yenu. Yasijetokea ya Lipumba, kutaka kurejea kwenye nafasi yake pale alipoona fursa aliyotegemea hajaipata kule alikotaka kwenda!
 
Back
Top Bottom