Cuf haihusiki lolote na uamsho : Dk shein

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Jana kuliulizwa swali na munir zakaria wa channel 10
"Mh rais, Chama chako kilitoa tamko kwamba waziri wa sheria na katiba ndugu Abubakar ajiuzulu.
tamko hilo lilitolewa na naibu katibu mkuu wa ccm Zanzibar. nini kauli yako"
Hilo ni tamko lake, CCM haijawahi kukaa kikao cha maamuzi kama hayo.
Hayo ni mawazo yake binafsi na sio ya CCM, Kamuulizeni mwenyewe alikuwa nania gani? CCM haijawahi kukuatana
Abubakkar na maalim seif walionyeshwa wakicheka

CCM katika taarifa yake ilidai CUF ianhusika na uamsho"
 
Mkuu mbona hueleweki?...
Kitendo cha kumtaka waziri wa sheria na Katiba ajiuzuru haina maana yoyote kwamba CUF inahusika na uchomaji moto wa kanisa. Au kwa sababu yeye ni mwanachama wa CUF basi lazima chama chake kinahusika? maelezo ya naibu katibu mkuu wa chama yako wazi kabisa, na kwamba alimtaka waziri ajiuzuru kutokana na kushindwa kudhibiti jumuiya ya UAMSHO ambayo inafanya kazi zake kinyume cha usajili wake.

Na ifahamike pia kwamba hata hao Uamsho wenyewe pia hawahusiki moja kwa moja na uchomaji moto wa makanisa, isipokuwa hotuba zao ndizo zimepelekea wajinga fulani kuamini kwamba adui wa Wazanzibar ni serikali ya Wakristu wa Bara hivyo kuchoma kanisa ni sawa na kuwatia mwiba wa nyayo Bara. Uchochezi wa Uamsho ndio unawaweka ktk kuhusika na uchomaji moto wa makanisa na sii kwamba viongozi wa Uamsho ndio walimwaga petrol na kuwasha kiberiti..Ifahamike!
 
Acha kuwatetea mukandara,ndo wao na motive yao siku zote ni kuona makanisa/ukristo unatokomea unguja
 
Dr.Shein hakurupuki, upole wake sio ubwege, Baba Ridh moko aende akale pindi kule!
 
Za mbayuwayu changanya na zako vinginevyo utaachwa ferry.
Habari toka chini ya kapeti ni kuwa CUF ya Zanzibar ndiyo Uamusho
na Uamusho ya Zanzibar ndiyo CUF.
Kwenye mikutano yote ya CUF utakutana na sura zote za wanauamusho
na kwenye mihadhara yote ya wanaUamusho utakutana na sura zote za
CUF. Wapemba 99% hawautaki muungano na wala hawawapendi wabara.
Ila Waunguja 99% wanautaka muungano na wanawapenda sana wabara.

So this Dude ni wapemba at work.
 
Kama CUF = Uamsho, pia ni sahihi kusema Uamsho = CCM maana CCM = CUF!!!

Du!!!
 
Kama CUF = Uamsho, pia ni sahihi kusema Uamsho = CCM maana CCM = CUF!!!

Du!!!
wewe ni great thinker wa kweli kwa maana ccm +cuf=wazanzibar. waliobaki ni wapiga porojo tu na wanaosukumwa na chuki tu.
 
Wamejazana huku bara halafu wanazaliana kama mende wanavyozaliana gizani...kuna namna hapo...!
Alafu walivyowabinafsi usipime!....yaani wamekaa kibaguzi baguzi tu.
Hapa nacheki ITV namuona Sheikh wa kipemba (mwarabu) anasema
wataendelea kuandamana hadi wapate uhuru wa Zanzibar...kaazi kweli kweli
 
Halafu wote wanaoshikia bango swala makanisa ni wafuasi wa CHADEMA! Imefikia wakati siwezi tofautisha lipi la CHADEMA au lipi la KANISA!
 
Kama unafikiria saana ni kweli utaona uhusika wa CUF hasa akina Jusa anapotoa kauri ya kibaguzi kama hili jimbo lina wakristo wengi na watu wengi kutoka Bara, Na Uamsho Hawataki watu toka Bara, wamechoma makanisa, wameiba bia na kunywa na kulewa, wameiba vinanda na meza na viti, Na waathirika wakubwa ni watanganyika na wakristo. nI KWELI PIA cuf HAINA WANACHAMA WENGI WAKRISTO KAMA JUSA ALIVO SEMA
Za mbayuwayu changanya na zako vinginevyo utaachwa ferry.
Habari toka chini ya kapeti ni kuwa CUF ya Zanzibar ndiyo Uamusho
na Uamusho ya Zanzibar ndiyo CUF.
Kwenye mikutano yote ya CUF utakutana na sura zote za wanauamusho
na kwenye mihadhara yote ya wanaUamusho utakutana na sura zote za
CUF. Wapemba 99% hawautaki muungano na wala hawawapendi wabara.
Ila Waunguja 99% wanautaka muungano na wanawapenda sana wabara.

So this Dude ni wapemba at work.
 
Itakuweje ...muungano ukivunjika na watu wakagoma nunua nyumba na viwanja vyao? Kwa jinsi nionavyo wazenj wengi wamejenga dar hasa msasani kuliko Zenj, kwa vile kule ni kwa kuwadanganya wenzao kuwa wapo dar ktk mapambano na serikali Kristu kurudisha uhuru wa zenj.
 
Acha kuwatetea mukandara,ndo wao na motive yao siku zote ni kuona makanisa/ukristo unatokomea unguja
Kama siyo wao Mkandara awataje waliochoma makanisa. Jambo hili liko wazi sana. Wakati wa kampeni za 2010 yalijitokeza pia yakaachwa. Ni wao na hao waliofunga nao ndoa.
 
Back
Top Bottom