CUF, CCM Wapigana kwa Moto Znz

Majasho

JF-Expert Member
Aug 4, 2009
413
220
Upepo wa kisiasa kisiwani Pemba unazidi kutoridhisha baada ya vitendo vya hujuma za wazi vinazidi kuongezeka kila kukicha,safari hii matawi ya vyama vya CUF na CCM yakiteketenzwa kwa moto na watu wasiojulikana. Haya ni maandalizi tu ya kuelekea uchaguzi mwakani? Je uchaguzi wenyewe utakuwaje mwakani? Wiki iliopita tulishuhudia zoezi la uandikishaji kusimama kwa ajili ya vurugu. Wakulaumiwa NANI? Tunafanya nini kuzuia vurugu kama hizi?
 
Nai laumu CCM na ZEC kwa hili kutokea .Nashangaa kwa nini watu wanaogopa kushindwa ama kuacha kukiri kwamba maeneo hayo si yao .
 
Hao usalama wa taifa waache upuuzi wao, watu hawana time na ujinga wao.
 
Mnashindwa ku-analyze hata vitu kama hivyo. Jee vingine itakuwaje????
This is repeated pattern whenever elections are near wanasiasa [siyo chama kimoja] wanatengeneza matatizo haya kwa sababu zao ambazo wakati mwingine hata ukaondoa uhai wa wananchi na wao wengine wakaenda majuu au sehemu nyingine salama.
KATIKA VITA VYA TEMBO ZINAZOUMIA NI NYASI NA MITI wakati wote dont you get it?? usianze ahh CCM ukasahau wako CUF pia. Uhai wao kwa kiasi kikubwa uko pemba wakishindwa hata kwa robo itakuwa aibu sana. Jamani tujaribu kuanalyze mambo objectively.
 
Toaneni macho tu shauri zenu. Si mnataka kujitenga? Hatuwapi favour tena ya kuwasuluhisha. Nyie malizaneni tu tuone seif na Karume watatawala nani.
Sisi tunasubiri mwaka 2010 bara tupate viti 100 vya upinzani, iwe isiwe tena bila fujo.:)
Malecela katupa mbinu tayari, tena ambazo hata sisi m hawazijui.
 
mi sijakuelewa unachokizungumza hapa...
 
Vyote viini macho. wanalazimisha bao 2010 huko Pemba. Mengi yatasikika lakin ukweli anajua Allah.

Mungu wanusuru ndugu zangu huko Konde , Ole na pujini
 
Toaneni macho tu shauri zenu. Si mnataka kujitenga? Hatuwapi favour tena ya kuwasuluhisha. Nyie malizaneni tu tuone seif na Karume watatawala nani.
Sisi tunasubiri mwaka 2010 bara tupate viti 100 vya upinzani, iwe isiwe tena bila fujo.:)
Malecela katupa mbinu tayari, tena ambazo hata sisi m hawazijui.
Nyie (Chadema) na CCM mafisadi lenu moja, ndo maana mlipoporwa ushindi kule B'Mulo, mmenyamaza kimya hata kofi hamjarusha!!!!
 
Hapo umenena kila muwamba ngoma huvutia kwake.
 
Nyie (Chadema) na CCM mafisadi lenu moja, ndo maana mlipoporwa ushindi kule B'Mulo, mmenyamaza kimya hata kofi hamjarusha!!!!
Sasa nyinyi kwa kurudishia makofi mmefaidi lipi? Kila siku kilio ni kile kile 'oh baba angalia MF kanipiga!'
Kumbe hayo makofi hayasaidii. Ngoja 2010 tutatumia mbinu ambayo haijawahi kutumiwa hata na sisi m.
 
Hao usalama wa taifa waache upuuzi wao, watu hawana time na ujinga wao.

Hapo ndio unapoanza kuboa! CCM+CUF=Usalama wa Taifa? Mawazo yako kama ya Seif ambaye amedai bila kuwa na uthibitisho wowote kwamba SMT inaishinikiza ZEC kuhusu daftari la kudumu la wapigakura!
 
Nyie (Chadema) na CCM mafisadi lenu moja, ndo maana mlipoporwa ushindi kule B'Mulo, mmenyamaza kimya hata kofi hamjarusha!!!!
Mkuu, ukianza huo mchezo wa kurushiana makofi, nchi yote hii itageuka kuwa Pemba.. unataka tuelekee huko?
 
Toaneni macho tu shauri zenu. Si mnataka kujitenga? Hatuwapi favour tena ya kuwasuluhisha. Nyie malizaneni tu tuone seif na Karume watatawala nani.
Sisi tunasubiri mwaka 2010 bara tupate viti 100 vya upinzani, iwe isiwe tena bila fujo.:)
Malecela katupa mbinu tayari, tena ambazo hata sisi m hawazijui.

Sifikiri kuwa mko waungwana kama hivyo kwa vile hamjuwi ule msemo wa Kiswahili "Ndugu wakigombana.............!"
Kwenu nyie ni wakati mzuri wa kwenda kubaka watoto wa "Kiarabu".
Waachieni Wazanzibari watatuwe mambo yao kwani hilo la nyie kuegemea upande mmoja ndio balaa kwa Wazanzibari.
 
Back
Top Bottom