Cucumber Juice -General facts Faida ya Unywaji wa Juisi ya Matango

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,315
33,111
green_juice_with_cucumber_2_part_1-36234.jpg
cucumbers-530x397.jpg


Cucumber is VERY Alkaline.

Cucumber Juice is EXTREMELY good for your Hair, Skin and Nails. It Really is True.

Cucumber Juice is High In Potassium. Cucumber Juice can Lower Your Blood Pressure.

Cucumber is a wonderful source for Silica. Silica is important for healthy connective tissue, ligaments, cartilage, muscles, tendons, and bone.

Cucumber Juice has Molybdenem, Vitamin A, Vitamin C, Manganese, Tryotophan, Magnesium, and Chlorophyll.

Cucumbers are a GREAT way to Cool Down Your Body.

Cucumber is Anti-Cancer in that it is VERY high in Alkaline Minerals and Cancer cannot Live in an Alkaline Body.

Cucumber Juices is also used to heal and cure issues with Acne, Water Retention, Arthritis, Kidneys, Eczema, Psoriasis, Weight Loss and Hair Loss.

Cucumber Juice is a useful Anti-Flam agent. Drinking Cucumber Juice can get Your Bodies Inflammation Down.
Cucumber Juice is a Diuretic and therefore has wonderful Cleansing Powers.


In Conclusion, Juicing Cucumbers is a quick way to lead a pain free live, to Prevent and Reverse Cancer – High Blood Pressure and other Disease.

Benefits of Cucumber Juice

Although most people are familiar with cucumbers since they typically appear on salads, few are aware that cucumber juice proves to be highly beneficial for a wide variety of health related issues. Eating cucumbers may
decrease the appearance of blemishes such as pimples and blackheads, making it an effective and an often-referred remedy for acne. However, it is essential to understand the full potential of the cucumber by examining the benefits of drinking cucumber juice to combat everything from high blood pressure and constipation to cancer.

Along with healthier skin, cucumbers contain a lot of water making it ideal for a variety of common issues. For those wishing to decrease their blood pressure, drinking this fruit in the form of juice, may provide a noticeable amount of relief as the blood pressure slowly declines. Furthermore, anyone dealing with the pains of constipation will also benefit from this fruit due to its high levels of alkaline and increased amounts of water. In terms of dieting and diabetes, cucumbers are ideal for an afternoon snack to rebuke hunger for those wishing to lose weight.

Another great factor with this fruit includes its high percentage of sulfur and silicone. For this reason, cucumber juice may aid those wishing to increase the growth of hair. The high amounts of sulfur and silicone also make cucumbers particularly good for growing healthier nails. Furthermore, cucumbers contain Silica, which is ideal for healthier ligaments, tendons, and muscles, making it perfect for people seeking relief of rheumatoid problems such as arthritis. Now for what may be the most important of all, cucumbers are extremely high in alkaline levels making it difficult for cancer to live in a high alkaline environment; therefore, cucumbers may prove beneficial in avoiding cancer of all types.

This fruit's benefits range from beauty remedies such as removing bags, restoring hair, and promoting healthy development of skin and nails to serious concerns such as potentially decreasing the risk of cancer development. Regardless of if you need a natural laxative, acne remedy.

There are a variety of ways to prepare cucumber juice, including simply running a freshly washed cucumber through a juicer. However, you may also combine this great, refreshing fruit drink with other juices such as carrot juice. Try adding sugar and honey to your cucumber beverage to sweeten it to taste. Many people prefer to add ginger to the drink mix for a spark of flavor. Regardless of which cucumber juice mix you use, drinking and eating these healthy cucumbers will definitely help you maintain a healthy lifestyle, proving to be highly beneficial for all.
Cucumber Juice ? Cucumber Vegetable Juice ? Guide To Juicing Cucumbers
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hebu ngoja nijaribu kutafuta faida za matango kwa Lugha yangu niliyoizoea
@Bujibuji angalia hapa

JE WAJUWA KUWA MATANGO NI DAWA?

matango.jpg
Matango
MATANGO si matunda mageni katika jamii ya Watanzania kwani hulimwa katika mikoa mbalimbali na mengine kuagizwa kutoka nchi za nje, hivyo kufanya upatikanaji wake uwe mzuri katika masoko ya ndani.Kihistoria, asili ya matango ni

bara la Asia, hasa nchini India. Na matango yalianza kulimwa huko Asia zaidi ya miaka 3000 na baadae zao hilo kusambaa na kupokowa vizuri na nchi za magharibi hasa Ufaransa katika karne ya tisa. Baadae Uingereza na Marekani
walianza kulima zao hilo katika karne ya 14 na 16.

Matango yana uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali na kwa njia rahisi isiyokuwa na madhara kwa mtumiaji, pia matibabu yake ni rahisi yenye kumuwezesha kila mwanajamii kumudu gharama, kwani yamekuwa yakiuzwa kwa kwa bei nafuu sana.

Baadhi ya madini yanayopatikana katika matango ni Calcium, Phosphorus, Potassium, Zink, Vitamin B, C na E. Madini haya ni muhimu sana katika mwili wa binadamu na yanapopungua au kukosekana mwilini husababisha magonjwa mbalimbali kama magonjwa ya moyo na saratani.

Faida za tango mwilini

Madini ya Potassium yanayopatikana katika matango ndicho chakula cha moyo kwa sababu huwezesha moyo kupiga mapigo katika hali ya kawaida.

Ulaji wa matunda na vyakula vyenye kiwango kikubwa cha potassium kama tango ni muhimu sana hasa kwa mtu mwenye tatizo la moyo, shinikizo la chini la damu. Pia tango linaaminika kupunguza kiwango cha rehemu, mafuta

yenye madhara mwilini, huimarisha misuli na pia husaidia usagaji wa chakula tumboni hivyo kuondoa tatizo la ukosefu wa choo.

Virutubisho vilivyopo katika tango hutoa nafuu kawa mtu mwenye matatizo ya ini, kongosho, figo na matatizo katika kibofu cha mkojo.

Watalamu wetu wanatueleza kuwa tango lina kirutubisho kinachojulikana kama ‘erepsin' ambacho husaidia uzalishaji wa ‘amino acids' ambayo ni muhimu kwa uzalishaji wa protini mwilini.
Vile vile tango lina kiwango kikubwa cha vitamin C hivyo kuwa na uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo yatokanayo na ukosefu wa vitamin hiyo, kama vile fizi kuvuja damu, upunguvu wa damu kwa watoto wachanga na kuota meno na mifupa vibaya.

Kinga ya Saratani
Pengine faida kubwa kuliko zote unazoweza kuzipata kwa kula tango au juisi yake mara kwa mara ni kinga dhidi ya saratani za aina mbalimbali. Jambo hili linalotokana na ukweli kuwa tango lina kiwango kikubwa cha uchachu ‘alkaline', na kufanya seli za saratani kuwa katika mazingira magumu ya kusambaa mwilini, kwani kwa kawaida seli za saratani

haziwezi kuishi kwenye mazingira zenye uchachu.
Hivyo ni vyema kujijengea mazoea ya kula tango mara kawa mara ili kujiwekea ulinzi na kinga ya saratani za aina mbalimbali.

Dawa ya magaonjwa ya ngozi
Tangu enzi na enzi tango limekuwa likitumika katika masuala ya urembo wa ngozi. Watu wengi hutumia tango kwa njia mbalimbali kutunza ngozi zao na kupendezesha sura, hata baadhi ya vipodozi visivyo na madhara hutengenezwa kutokana na tango.

Ulaji wa tango na unjwaji wa juisi yake mara kwa mara huondoa matatizo mengi ya ngozi yaliyo ndani na nje, kama utachukua hatua ya kutumia juisi yake kwa muda wa wiki mbili hadi tatu mfululizo.
Baada ya matumizi, hakika utakuwa na ngozi nyororo yenye afya kushinda mtu anayetumia vipodozi.

Jinsi ya kuandaa juisi ya tango

Ni rahisi sana kutengeneza juisi ya tango. Chukua tango, katakata vipande tayari kwa kusaga ama kwa mashine au kwa kutwanga katika kinu maalumu, kisha changanya na maji masafi ili kupata juisi glasi moja.

Unaweza kuweka sukari kiasi kidogo sana au unaweza kuweka asali kijiko kimoja utapata matokeo mazuri ya haraka kama ukinywa juisi yako asubuhi kabla ya kula kitu chochote.
Ili kutibu matatizo ya ngozi au magonjwa mengine kama tulivyoyaeleza hapo juu, inakupasa kunywa juisi ya tango

kwa muda wa wiki mbili au nne mfululizo kisha angalia matokeo yake.
Kwa afya njema, jenga mazoea ya kunywa japo mara mbili au tatu kwa wiki, vilevile unaweza kujiwekea mazoea ya

kula tango kwa njia mbalimbali kama vile kuchanganya na saladi, kachumbali au kulitafuna lenyewe mara kwa mara kwani faida zake ni nyingi mwilini.
Makala haya yameandikwa na Peter Ntima, kwa msaada wa mtandao na vyanzo mbalimbali vya habari.
Je, Wajua Matango Ni Dawa?
 
@Husninyo hakuna mimi huwa nakula tango moja niamkapo asubuhi kabla ya kula kitu natia chumvi kidogo sana.

mi huwa siyapendi matango ingawa najilazimisha kuyala hivyo hivyo nikiyaongezea ladha ya chumvi huwa naona yanakuwa mazuri.
Ahsante kwa kunitoa hofu.
 
FAIDA ZA TANGO (CUCUMBER)
Matango yana uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali na kwa njia rahisi isiyokuwa na madhara kwa mtumiaji, pia matibabu yake ni rahisi yenye kumuwezesha kila mwanajamii kumudu gharama, kwani yamekuwa yakiuzwa kwa kwa bei nafuu sana.
Baadhi ya madini yanayopatikana katika matango ni Calcium, Phosphorus, Potassium, Zink, Vitamin B, B1, B2, B3, B4 na B6 vitamin C na E. Madini haya ni muhimu sana katika mwili wa binadamu na yanapopungua au kukosekana mwilini husababisha magonjwa mbalimbali kama magonjwa ya moyo na saratani.
Faida za tango mwilini
Madini ya Potassium yanayopatikana katika matango ndicho chakula cha moyo kwa sababu huwezesha moyo kupiga mapigo katika hali ya kawaida. shinikizo la chini la damu. Pia tango linaaminika kupunguza kiwango cha lehemu, mafuta
yenye madhara mwilini, huimarisha misuli na pia husaidia usagaji wa chakula tumboni hivyo kuondoa tatizo la ukosefu wa choo.
Virutubisho vilivyopo katika tango hutoa nafuu kawa mtu mwenye matatizo ya ini, kongosho, figo na matatizo katika kibofu cha mkojo.
Vile vile tango lina kiwango kikubwa cha vitamin C hivyo kuwa na uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo yatokanayo na ukosefu wa vitamin hiyo, kama vile fizi kuvuja damu, upunguvu wa damu kwa watoto wachanga na kuota meno na mifupa vibaya.
Kinga ya Saratani, tango lina kiwango kikubwa cha uchachu ?alkaline?, na kufanya seli za saratani kuwa katika mazingira magumu ya kusambaa mwilini, kwani kwa kawaida seli za saratani
haziwezi kuishi kwenye mazingira zenye uchachu.
Faida nyingine za tango
?Huondoa uchovu
?Huondoa seli zilizokufa na makunyanzi kwenye ngozi Weka au sugulia vipande vya tango usoni au sehemu iliyoathirika na utaona maajabu baada ya siku chache.
?Huondoa ?hangover? au maumivu makali ya kichwa,
?Huondoa harufu mbaya mdomoni
?Hutibu wenye matatizo ya kukauka midomo
?tango lina uwezo mzuri wa kusafisha vioo ambavyo vimefubaa kwa uchafu au maji ya chumvi.












 
Back
Top Bottom