Cuba: Mwanaume aliyebadilishaa jinsia yake na kuwa mwanamke afunga ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cuba: Mwanaume aliyebadilishaa jinsia yake na kuwa mwanamke afunga ndoa

Discussion in 'International Forum' started by DSN, Aug 15, 2011.

 1. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  t1larg.jpg
  Bibi Wendy Iriepa na mumewe Bwana arusi wakitoka kufunga Ndoa yao


  Wendy_Iriepa-373x500.jpg Mrembo Wendy aliyekuwa Mwanaumea akabadili jinsia na kuwa Mwanamke kama anavyoonekana.

  Mwanaume raia wa Cuba kwa jina Wendy Iriepa aliyebadilisha kutoka kuwa mwanaume na kuwa Mwanamke mwaka 2007 [She is a male-to-female transsexual.] ameolewa tarehe 13 August mwaka huu, siku ya Ijumaa,ambayo kwa Nchi ya Cuba ni siku ya Kuzaliwa kwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Cuba Fidel Castro [Landmark wedding on Fidel's birthday]. Wamefunga ndoa na mtetezi wa ndoa za aina moja [Gay] Ignacio Estrada.

  Wamefunga ndoa tarehe hiyo ambayo ni maalumu kwa watu wa Cuba ilikuleta mwamko kwa kuhusisha tukio hilo kubwa na ndoa yao.Yani kama ni kwa Watanzania ni ile sku ya kuzaliwa kwa Baba wa Taifa.Mume wa mchumba anasema hiyo ni alama mpya ya mwanzo mpya wa Cuba mpya ambayo zama za utawala wa Fidel Castro watu wa haiba yao yaani Mashoga na Wasagaji [Gays and Lesbian] walikuwa hawana nafasi na uhuru juu ya haki yao ya kuchagua maisha wanayotaka kuishi.Na walikuwa wakikamatwa na kuwekwa kizuini,kwenye kambi za kazi ngumu [Labour Camp].

  Haya yote yametokea baada ya Serikali ya Cuba chini ya Kiongozi wa Kituo cha Taifa maswala ya elimu ya Mapenzi Mariela Castro,mtoto wa Mdogo wa Rais wa Cuba,ambae ni mdogo wa Rais Mstaafu wa Cuba Fidel Castro, Kuamua kutoa elimu kwa vikosi vya polisi na wanachama wa chama tawala kufanya mazungumzo na hivyo kutoa nafasi ya hatua ya kufanya kuluhusu hata upasuaji wa kwanza kufanyika mwaka 2007,ambao mrembo huyo Wendy Iriepa alifaidika na mpango huo.

  Iriepa alifanya kazi na Mtoto wa Rais huyo Mariera Castro kisha wakatengana [estarnged] baada ya Wendy kumpenda mumewe wa sasa ambae ni shoga [Gay] .


  Mariera Castro.JPG


  Juu ni Mtoto wa Rais wa Cuba Mariela Castro ambae walifanya kazi pamoja na Wendy.

  Nawasilisha
   
Loading...