CTV - CHADEMA TV: Karibuni hewani

Mie nipo tayari kuripoti bure kutoka hapa nilipo. Kwani tz kwa sasa hakuna tv yoyote ni kama video za harusi ,mbona kenya wanatangaza vizuri sana
 
Jamani kwa nini wasiiweke hewani hii CHADEMA TV..(CTV)..??? Mimi niko Tayari Kuichangia na nadhani kuna wadau wengi wataunga mkono . Tumechoka na uchakachuaji wa TBCCM. Wadau wa CTV tupeni mikakati yenu jamani.
wangetumia hata ile njia ya sms ...watu tungechangia tu ili mradi mambo ya michango na matumizi yawe transparent.
 
Kikipigwa kipenga tu, sie wajanja tutakuwa tayari tumeshachangia tv makini ya chama makini. Big up Chama Dume, Chadema.
 
Ungeanza na redio tungeona uko serious maana hiyo haihitaji uwekezaji mkubwa, hayo ya CTV yangefua baadae. Au kama vipi tengeneza ya kwenye internet watu waone online.
 
Kama CDM wameanzisha TV station waseme ni kiasi gani kwa mwaka wadau wako radhi kuchangia kwa ajili ya kuindesha. Wapo wadau kedekede mitaa ya kaskazini mwa amaerika na ulaya wako tayari kutoa fedha kede kede waseme tu
 
Tunasubiria watuletee njia mbalimbali za kutoa michango ili tuwe na chombo chetu huru.
 
Gazeti lenu la TZ Daima limeshindwa kuwa gazeti lenye mvuto, hebu angalia hata jf post from newspapers uone ngapi ni za hilo gazeti pamoja na jf kuwa na pro-CDM wengi.

Kwenye website yao habari zinabadilishwa after 3days
I tell u kama mtataka TV yenu ifanikiwe punguzeni propaganda za ki-CDM, la itabakia TV jina tu.

Zitto mwenyewe ile habari yake ya meli znz hakutuma TZ daima, wala JF, jiulize kwa nini?
 
Ila isije ikawa mkishachangia baadae baada ya chama kuingia madarakani mkaanza kudai mgao. Ndio tutarudi kule kuleee ambako wengine wako kwa sasa. Ila ni vizuri hiyo CTV ikianzishwa maana itawapa watanzania habari ambazo ni za uhalisia (Hazijachujwa kulingana na matakwa ya watu fulani)
 
Gazeti lenu la TZ Daima limeshindwa kuwa gazeti lenye mvuto, hebu angalia hata jf post from newspapers uone ngapi ni za hilo gazeti pamoja na jf kuwa na pro-CDM wengi.
Kwenye website yao habari zinabadilishwa after 3days
I tell u kama mtataka TV yenu ifanikiwe punguzeni propaganda za ki-CDM, la itabakia TV jina tu.
Zitto mwenyewe ile habari yake ya meli znz hakutuma TZ daima, wala JF, jiulize kwa nini?

Aliyekuambia Tanzania Daima ni la CDM kakudangany. Kama unajua kupima habari angalia habari inazoandika Tanzania Daima zinazohusu CDM, na habari inazoandika Uhuru zinazohusu CCM, kama huko kishabiki utaona tofauti kubwa.

Hakuna siku Uhuru inaweza andika habari za CCM zenye mtazamo hasi, lakini Tanzania Daima linaandika habari za CDM hata zikiwa hazitakiwi na Wana CDM.
 
uamuzi wa kuanzisha tv na redio ni muhimu sana, ikiwezekana tupate mtendaji wa aina ya tido mhando, things will be poa.
 
Tv chadema itakuwa changamoto la mabadiliko ya kweli,,yule mzee wa kichaga na litv lake ataangalia na wake zake,,simpendi sana yule babu
 
Back
Top Bottom