Cryogenically Frozen: Sehemu zinatumika kuhifadhi miili ya watu waliofariki

Cloned human anaweza kuwa subjected kwenye mazingira yoyote yale yanayomwaffect binadamu pia...

It's like Wako Jacko...

He died since then but his clone was surviving na alikuwa anapatiwa matibabu kama kawaida akiugua n.k ....So ni binadamu ambaye kapewa ufahamu kupitia chip mind controller na anapata kuwa mtu katika mazingira yote ..

Mkuu lifecoded naomba unitoe tongotomgo kwa huyu wako jacko kwani hakuwa mtu halisi??
 
Hiki ulichoeleza ni kama kwenye Movie ya REPLICAS, ambayo ni Sci-fi Movie amecheza Keanu Reeves.

Science can do it all, this i can say.
 
Licha ya maelezo mazuri na marefu yenye kuelimisha, lakini kuna mkangayiko kwa mujib wa ulichokiandika.

Unasema "...mind ndo uhai wa kiumbe yoyote...hivyo ukiweza kuhamisha mind tayari umehamisha ufahamu ( consciousness ) yake...na ufahamu ndo maisha halisi ya mtu husika..."

Uhai unabaki kuwa uhai, hakuna mbadala wake. Vinginevyo mtu aliyepandikizwa hiyo chip asingekufa kwa sababu hiyo chip haifi.
 
Cloned human anaweza kuwa subjected kwenye mazingira yoyote yale yanayomwaffect binadamu pia...

It's like Wako Jacko...

He died since then but his clone was surviving na alikuwa anapatiwa matibabu kama kawaida akiugua n.k ....So ni binadamu ambaye kapewa ufahamu kupitia chip mind controller na anapata kuwa mtu katika mazingira yote ..

Sent using Nokia 8 Plus

Mkuu haujajibu ipasavyo swali la huyo jamaa. Kwamba huyo cloned anakufa au hafi?

Rejea pia post yangu no. 37.
 
Mind apload ndo habari ya muuujiniiii kwa wenye pesa..
Unawekewa kifaa cha kuwa kinahifadhi kumbukumbu zako na pindi unapokufa tunakitoa kisha tunamuwekea clone wako kisha unakuwa wewe...
Hakutakuwa na utofauti na original (ulivyokuwa )kwani uhalisia wa mtu ni ufahamu halisi.View attachment 1047503
Hauwezi ukawa wewe exactly! Kwa sababu kwanza chip kama chip ina limmitations nyingi mno ikiwemo ya limmited storage hii itapelekea uwezekano wa wewe uliyetenge ezwa kushindwa kuingiza vitu vipya ama kuwa na vile ambavyo uliwwahi kujifunza pekee. na kingine genes zako zikishakuwa edited unapoteza ubora wa kuwa wewe.
All in all utabaki kuwa ANDROID tu.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom