Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 15,103
- 16,143
Talk is cheap
Cloned human anaweza kuwa subjected kwenye mazingira yoyote yale yanayomwaffect binadamu pia...
It's like Wako Jacko...
He died since then but his clone was surviving na alikuwa anapatiwa matibabu kama kawaida akiugua n.k ....So ni binadamu ambaye kapewa ufahamu kupitia chip mind controller na anapata kuwa mtu katika mazingira yote ..
was a clone
So alifanyiwa hizo process zote?? Na kurudishiwa kumbukumbu zake za tangu mwanzo???clone akifa anaweza Ku dublicate tena??was a clone
Hahahaa! Naona hutaki kufa mkuu
Watakaoweza kufanya haya mambo mi kizazi cha miaka 200 ijayo! Sie tutakuwa tumesahaulikaIngekuwa amri yangu tusife jamani maisha haya haya magumu lakin matamu
Cloned human anaweza kuwa subjected kwenye mazingira yoyote yale yanayomwaffect binadamu pia...
It's like Wako Jacko...
He died since then but his clone was surviving na alikuwa anapatiwa matibabu kama kawaida akiugua n.k ....So ni binadamu ambaye kapewa ufahamu kupitia chip mind controller na anapata kuwa mtu katika mazingira yote ..
Sent using Nokia 8 Plus
Hauwezi ukawa wewe exactly! Kwa sababu kwanza chip kama chip ina limmitations nyingi mno ikiwemo ya limmited storage hii itapelekea uwezekano wa wewe uliyetenge ezwa kushindwa kuingiza vitu vipya ama kuwa na vile ambavyo uliwwahi kujifunza pekee. na kingine genes zako zikishakuwa edited unapoteza ubora wa kuwa wewe.Mind apload ndo habari ya muuujiniiii kwa wenye pesa..
Unawekewa kifaa cha kuwa kinahifadhi kumbukumbu zako na pindi unapokufa tunakitoa kisha tunamuwekea clone wako kisha unakuwa wewe...
Hakutakuwa na utofauti na original (ulivyokuwa )kwani uhalisia wa mtu ni ufahamu halisi.View attachment 1047503
was busy, sometimes..vipi mkuu,,??Mkuu umeadimika humu jukwaani