Cryogenically Frozen: Sehemu zinatumika kuhifadhi miili ya watu waliofariki

mkuu,consciousness inakuwa processed na nini kama sio mind......?? unaelewa lakini...mind inaweza kuwa conscious au subconscious au semi-conscious depending na mazjngira mwili ulipo......

huwezi ukawa hai if at all consciousnes haipo katika mind....ukifanya total mind apload tayari unakuwa umehamisha ufahamu( consciousness)...that's why unapoinduce microchip kwa ajili ya kuwa inahack awareness unaweza ukaisoma na kuihamisha kwa system.

Watu wameshafika mbali mkuu,sema mambo mengi yapo closed

Acha nifupishe maelezo kwa kukuomba ufafanue hii kauli..

"...mind ndo uhai wa kiumbe yoyote...hivyo ukiweza kuhamisha mind tayari umehamisha ufahamu ( consciousness ) yake...na ufahamu ndo maisha halisi ya mtu husika..."
 
nina akili timamu kukuuliza hili swali na ninaomba jibu au una limitation ya knowledge mkuu?
au sio ....hakuna swali kama hilo kwa anayejua neuralscience. vizuri eti how neurogenesisi brings about memory loss ..daaah mpaka nimekuonea huruma mkuu.....umeshindwa kutoa maelezo yako. kama niliyoyatoa .. ..tueleze pathophysiology ya neurogenesis kusababisha memory loss nahis unachanganya mafolder kichwani..unajua maaana ya neurogenesi kweli wew...??neurogenesis means ni replacement ya cell zilizokufa kwenye ubongo...sasa tupe mechanism hiyo cell mpya ziwe zinasababisha memory loss....we jamaaa kiazi sana..toa maelezo mi napiga kambi hapa
 
TRIGGERED? Asa kelele nyingi za nini mkuu? Na wewe unaweza jiita umesoma neuro science na unashindwa simple concepts kama hizo?
au sio ....hakuna swali kama hilo kwa anayejua neuralscience. vizuri eti how neurogenesisi brings about memory loss ..daaah mpaka nimekuonea huruma mkuu.....umeshindwa kutoa maelezo yako. kama niliyoyatoa .. ..tueleze pathophysiology ya neurogenesis kusababisha memory loss nahis unachanganya mafolder kichwani..unajua maaana ya neurogenesi kweli wew...??neurogenesis means ni replacement ya cell zilizokufa kwenye ubongo...sasa tupe mechanism hiyo cell mpya ziwe zinasababisha memory loss....we jamaaa kiazi sana..toa maelezo mi napiga kambi hapa
 
sasa clone maanake nini..?? hueleweki..

Ulisema walifanya clone ya Michael Jackson, mdau akakuuliza inamaana huyo mtu zao la clone hafi?
Ukajibu kwamba kuku wa kizungu na wanyama wanakufa, sijui kama unaelewa kwanini aliuliza hilo swali.
Narudia tena, hicho kinachotengenezwa kutokana na clone kinakufa au hakifi?

Ni kipi hakijaeleweka hapo?
 
Acha nifupishe maelezo kwa kukuomba ufafanue hii kauli..

"...mind ndo uhai wa kiumbe yoyote...hivyo ukiweza kuhamisha mind tayari umehamisha ufahamu ( consciousness ) yake...na ufahamu ndo maisha halisi ya mtu husika..."
Mkuu kasome vizuri kinachomfanya mwanadamu awe hai ni nini...tatizo mnachanganyana na hayo maneno yenu ya roho,nafsi sijui mwili .Ila kama unaweza soma btn the line utaelewa nini namanisha kuhusu ufahamu ...kinachokufanya uwepo hapa duniani ni consciousness( ufahamu.) ukipoteza ufahanu unakuwa kwenye other realm of life...ufahamu unakuwa kwenye mind ....consciousness ndo inayokufanya ujitambue ulipo ...
 
Iko hivi, hayo maneno niliyoyanukuu ni wewe umeandika, sasa unapoanza kuleta habari zisizokuwepo za maneno yetu ya roho nafsi na mwili unakosea. Sijaleta hizo maneno hapa. Wewe ndio umesema mind ndio uhai wa kiumbe chochote, tupo wote hadi hapo?
 
Ulisema walifanya clone ya Michael Jackson, mdau akakuuliza inamaana huyo mtu zao la clone hafi?
Ukajibu kwamba kuku wa kizungu na wanyama wanakufa, sijui kama unaelewa kwanini aliuliza hilo swali.
Narudia tena, hicho kinachotengenezwa kutokana na clone kinakufa au hakifi?

Ni kipi hakijaeleweka hapo?
clone anakufa kama anavyokufa mother donor...labda point yenuni ipi make naona bado mnataka kujua kama clone ni kiumbe au sio...what is death by the way..? have a nice everning mkuu
 
Kifo ni kutoweka kwa uhai. Mzozo umeanzia hapo uliposema "...mind ndio uhai wa kila kiumbe..."
Ikiwa clone anakufa, na mind ndio uhai wa kila kiumbe huku umeelezea maendeleo ya teknolojia ya chip yanavyoshughulika na mindi, UHAI sio MIND pekee.
Uwe na jioni njema pia.
 
jamaa wanaamini kua ukigandishwa then baada ya 100yrs ukatolewa kwenye freezer eti unafufuka,. kisa walijaribu kufreez figo na badae walipo unfreez ikawa inapiga mzigo kama kawaida
 
Kifo ni kutoweka kwa uhai. Mzozo umeanzia hapo uliposema "...mind ndio uhai wa kila kiumbe..."
Ikiwa clone anakufa, na mind ndio uhai wa kila kiumbe huku umeelezea maendeleo ya teknolojia ya chip yanavyoshughulika na mindi, UHAI sio MIND pekee.
Uwe na jioni njema pia.
na hapo ndo unapojichanganya...unataka kusema ufahamu upo wapi sasa mkuu...?? kinachodrive life ya. kiumbe ni nini mkuu ...isnt consciosness and soul....? soul au nafsi ina part yake katika kubeba uhai wa mtu,hali kadhalika mind ina beba ufahamu juu ya mtu. anapaswa kusurvuve....labda ukizungumzia mambo ya spiritual. nature ndo utasema kuwa uhai unakuwa processed na soul ( nafsi)
but scientifically tunasema kuwa consciousness habours everything.....thats why we survive under different planes of reality depending with our conscious awareness...the more you posses high conscious awareness, the more unakuwa kwenye plane za juu za kuishi means unasurvive katika higher level of reality and true nature of life...
Bado somo la consciousness ni gumu kwa wengi....tunadanganywa. sana kuhusu true nature of life kuwa ni spirit sijui ni soul...but you will never ascend into higher level of life if your mind posseses low. consciousness....ukijua role of consciousness katika kumfanya mtu afikie maisha ya juu katika reality ni consciousness..

..........kila mtu aamini anachojua kutokana na ufahamu wako duniaji. tupo kwenye kifungo cha ufahamu and nothing else..

ili kuendelea kusavaivu kwenye hii game ni lazima upate. ufahamu uliosahihi kwanini upo hapa na lengo ni lipi....this is the matrix game of reality..only consciousness will decide your destination.
 
lifecoded anaweza kuwa kweli kasoma vizuri sana neuro science ila kumbuka kusoma, kuelewa kisha kuelezea jambo ulilosoma ni kitu tofauti kabisa.
wala sijasema@lifecoded kasoma neurascience ila kuhusu nueroscience hawezi pigwa tango pori...kuna mengi hayajui ila concept za kawaida ni za kukemea.....
 
lifecoded anaweza kuwa kweli kasoma vizuri sana neuro science ila kumbuka kusoma, kuelewa kisha kuelezea jambo ulilosoma ni kitu tofauti kabisa.
Yaaap, ndo mana tunapokutana kwenye forums kama hizi tuna share mawazo na kujengana pale inapobidi ndio kuchangia mada,
 
wala sijasema @lifecoded kasoma neurascience ila kuhusu nueroscience hawezi pigwa tango pori...kuna mengi hayajui ila concept za kawaida ni za kukemea.....

Mkuu nilikua najibu niliyemnukuu, ndio maana nikasema huenda. Sasa ikiwa vitu vidogo na vya kawaida vinaanza kuleta shida, mambo ya mind upload kwenye chip tutaelewana kweli?

Hizi nadharia zote bado zipo kwenye majaribio, zinabaki kuwa nadharia hadi itakapothibitishwa vinginevyo.
 
shida inakuja pale anapokuja kwa kasi kupinga kitu huku akiwa hana maelezo mbadala..there is no knowing in totality but we share the likelihood concept ......the problem is hatutaki kufree what our mind knows but tunajiaminisha kuwa unachokifahamundo kweli lakini tunashindwa kujua kuwa we are surounded by illusion ambayo inablackmind consciouness yetu...
The true purpose of humanity is to ascend in consciousness ili kupita katika reality za juu..haya mengine ni illusion tu .Yani kama mtu yupo. tu kuwa yupo aishi halafu afe bila kujua umuhimu wa kuraise consciousness he( she) might be wrong....
 
na hapo ndo unapojichanganya...unataka kusema ufahamu upo wapi sasa mkuu...?? kinachodrive life ya. kiumbe ni nini mkuu ...isnt consciosness and soul....? soul au nafsi ina part yake katika kubeba uhai wa mtu,hali kadhalika mind ina beba ufahamu juu ya mtu. anapaswa kusurvuve....labda ukizungumzia mambo ya spiritual. nature ndo utasema kuwa uhai unakuwa processed na soul ( nafsi)
but scientifically tunasema kuwa consciousness habours everything.....thats why we survive under different planes of reality depending with our conscious awareness...the more you posses high conscious awareness, the more unakuwa kwenye plane za juu za kuishi means unasurvive katika higher level of reality and true nature of life...
Bado somo la consciousness ni gumu kwa wengi....tunadanganywa. sana kuhusu true nature of life kuwa ni spirit sijui ni soul...but you will never ascend into higher level of life if your mind posseses low. consciousness....ukijua role of consciousness katika kumfanya mtu afikie maisha ya juu katika reality ni consciousness..

..........kila mtu aamini anachojua kutokana na ufahamu wako duniaji. tupo kwenye kifungo cha ufahamu and nothing else..

ili kuendelea kusavaivu kwenye hii game ni lazima upate. ufahamu uliosahihi kwanini upo hapa na lengo ni lipi....this is the matrix game of reality..only consciousness will decide your destination.

Nikuulize swali dogo tu la kawaida kabisa, kama mtu kapandikizwa chip, mind upload inafanyika tokea akiwa tumboni. Na kwa mujib wa maelezo yako mind ndio uhai wa kila kiumbe. Kwanini huyo mtu anakufa?

Kwangu, tafsiri ya kifo ni kutoweka kwa uhai. Tukiweka mbali vifo vinavyotokana na ajali au majanga yanayoharibu umbo au mwili wa binadamu. Unataka kusema inawezekana mtu akafa, akahifadhiwa kwenye mazingira flani kisha akapandikizwa chip yenye kumbukumbu na data za mtu mwingine, ataendelea kuishi japo hata kuwa na tabia au vinasaba vya aliyewekewa chip awali?

Mind apload ndo habari ya muuujiniiii kwa wenye pesa..

Unawekewa kifaa cha kuwa kinahifadhi kumbukumbu zako na pindi unapokufa tunakitoa kisha tunamuwekea clone wako kisha unakuwa wewe...

Hakutakuwa na utofauti na original (ulivyokuwa )kwani uhalisia wa mtu ni ufahamu halisi.

photogrid_1552813510407-jpeg.1047503
 
shida inakuja pale anapokuja kwa kasi kupinga kitu huku akiwa hana maelezo mbadala..there is no knowing in totality but we share the likelihood concept ......the problem is hatutaki kufree what our mind knows but tunajiaminisha kuwa unachokifahamundo kweli lakini tunashindwa kujua kuwa we are surounded by illusion ambayo inablackmind consciouness yetu...
The true purpose of humanity is to ascend in consciousness ili kupita katika reality za juu..haya mengine ni illusion tu .Yani kama mtu yupo. tu kuwa yupo aishi halafu afe bila kujua umuhimu wa kuraise consciousness he( she) might be wrong....

Take it easy bro. Mie nataka twende taratibu tu kwenye mada.
Hata mimi sielewi wala sijasoma kila kitu, lakini nnashukuru kwamba nna akili yenye uwezo wa kuhoji jambo, kulifikiria, na kudadisi bila kujali limesemwa na nani. Haupokei tu kila jambo kama linavyokuja. Kwa muktadha huo, sina tatizo na wewe, ningependa tujadili hizi nadharia mbili clone na mind/ consciousness (Uhai).

1. Mfano wa kwanza, lifecoded amewekewa chip tokea tumboni kabla hata hajazaliwa, The Monk ameishi maisha yake kisha akafa, wanasayansi wakifanya vitu vyao wakauhifadhi mwili wake wa mazingira yao, wanaweza kumpandikizia chip iliyokuwa imewekwa kwa lifecoded kisha The Monk akaendelea na maisha? japo hatakua kama The Monk wa awali?

2. Kwa kuwa lifecoded amewekewa chip tokea ujauzito wake, kwanini anakufa wakati tayari ana uhai (Mind) ambao unaweza kuwekwa kwa mtu mwingine ukaendeleza maisha?

Ahsante
 
Mind apload ndo habari ya muuujiniiii kwa wenye pesa..

Unawekewa kifaa cha kuwa kinahifadhi kumbukumbu zako na pindi unapokufa tunakitoa kisha tunamuwekea clone wako kisha unakuwa wewe...

Hakutakuwa na utofauti na original (ulivyokuwa )kwani uhalisia wa mtu ni ufahamu halisi.View attachment 1047503
Kwa maana hiyo kama hujaridhika na vile ulivyo unaweza ukaorder artificial human body of your choice, unajiua then process hiyo uliyosema inafanyika unarudishiwa uhai. Hii naona pia itawafaa wale wanaotamani kuwa jinsia nyingine. mawazo ya usiku
 
Back
Top Bottom