CRUTI ni mdudu"

azariah davis

Member
Oct 18, 2020
91
72
Cruti ni mdudu." Hana haki kbhxa Wala hakili timamu hana , ndio kauli iliyotawala kipind niko kamb flani Ivi JKT " daah maisha yalikuwa ni magumu sana.."

Wiki 6 sijui nini maana ya usngizi usiku kucha nakesha nimekaa kweny matope barid kali kinyama afu ukiinaman tyu kidogo kofii.... Paaaaaaaaaaah" kweny uparaaaa

Naomba kwa mliopita uko jamn tukumbushane kidog mambo ambayo mliyapitia kule JKT na nyie.."

Karbu sana.
 
Mi nakumbuka mraba nlio kuwa na Lima
Dah nikawaza Sanaa nikasema Kwa jinsi navyo piga kazi hivi ningekuwa nafanya hivi kitaa ningetoboa maisha.

Maana nikajifunza kufanya kazi kuanzia sakumi alfajiri mpaka sa 12 Jioni bila kupumzika.Unapumzika wakati unakula tu.
Asee ilikuwa rahaa Sanaa.
Watu ambao hawajapitia JKT wamekosa mengi sanaaaa
 
..umenikumbusha kweny kupumzika Apo daaaah.." ani mda wa kupumzika hamna kbhxaa aisee..
 
Mi nakumbuka mraba nlio kuwa na Lima
Dah nikawaza Sanaa nikasema Kwa jinsi navyo piga kazi hivi ningekuwa nafanya hivi kitaa ningetoboa maisha.

Maana nikajifunza kufanya kazi kuanzia sakumi alfajiri mpaka sa 12 Jioni bila kupumzika.Unapumzika wakati unakula tu.
Asee ilikuwa rahaa Sanaa.
Watu ambao hawajapitia JKT wamekosa mengi sanaaaa
Kwa hiyo mpaka sasa uko jeshini? kama sasa uko kitaa vipi umeshatoa tayaru kwa huo ujuzi wa jeshini?
 
Kwa hiyo mpaka sasa uko jeshini? kama sasa uko kitaa vipi umeshatoa tayaru kwa huo ujuzi wa jeshini?
Kitaa

Sijivuniii ila ni ki mtindo siko hovyo Ila Jkt ni kuzuri kutufundisha maisha kwakweli.
Maana hakuna kudeka wala kulialia Mtoto wa kiumee.

Maneno ya kujadili jadili kama wanasiasa hakunaga hapo ndo Napo zidi kupapenda zaidi.
Asantee Sana wazazi wangu kunipeleka kule now naonekana Dume la ma Dume
 
Tatizo lenu mliopotia jkt mnatungusha sana mkiambiwa twende kwenye maandamano hamjitokezi kwenda kuonesha ujuzi wenu mlioupata huko makambini .Inafika stage mpaka watu wana kata tamaaa na kuanza kukimbia nchi.😁😁😁
 
Kurutu ni mduduhahaaaaaa very famous saying huko majeshini......
maana yake mdudu hafi kirahisi
 
Back
Top Bottom