Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

mbn kwenye nyuzi kibao anatokeaga mtu anaekt yy ndo anaeongelewa?mie nadhan huyu kachangamsha genge tu..sijui lakin km ni yule yule

Kama umesoma vizuri utaona uhalisia kwenye hili tukio, siyo la kutunga, na the other person ni mke wa jamaa kweli.

Mimi binafsi naona kama ni tukio la kweli. Na sitaki kujudge upande ila nilichoona ni kwamba wameingia kwenye ndoa kabla hawajamaliza ujana. And then wote ni Alpha Character, ni ngumu kuwaweka pamoja.
 
Take time, utapona tu na maisha yatakuwa sawa.

Another thing, kama yule aliyejibu ni mkeo, this thing iko kwenye level ambayo ni maombi kwa Mungu (kama ni waamini) ndo yataokoa.

My prediction;
1. Ikitokea mkaachana, yule mwanaume hatamwoa na thamani yake kwake itashuka. Hii ni kwa sababu mwanamke ambaye naweza kuwa nina plan ya future naye siwezi kufanya naye utumbo wa threesome, we do that to hookers.

2. Kama utaendelea kukaa naye risk ni kubwa kwamba kuna siku mtabutuana na itakuwa kesi kubwa. Na mnaweza kushindwa hata kumlea mwanenu.

NB: Kama mtaachana achaneni bila kumshirikisha yeyote, iwe kimya kimya, na ikitokea akarudi basi iwe ni habari yenu wote, isipokuwa mjulishe Ben kwamba umemwachia mke kwa roho safi.
 
Bila shaka muhusika ameshafanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi, kila lakheri mkuu.
 
Kama umesoma vizuri utaona uhalisia kwenye hili tukio, siyo la kutunga, na the other person ni mke wa jamaa kweli.

Mimi binafsi naona kama ni tukio la kweli. Na sitaki kujudge upande ila nilichoona ni kwamba wameingia kwenye ndoa kabla hawajamaliza ujana. And then wote ni Alpha Character, ni ngumu kuwaweka pamoja.

unadhan mm nakataa kuwa sio true stry.?its true mbn haya madogo sana mkuu....labda km mwanamke niiweke hvi;
Jamaa kajua mkewe na mtu anayecheat naye kawajua..lazima ukose usingizi.. hya mambo yapo kuliko ht haya mbona!!!kwan wale wanaoamua kuzaa na mchepuko huwa wanakuwa sayari gani?si hawa hawa.. imagine siku kila mtu afunguke habari zake za ndoa mbona humu tutaishia kushika vinywa!!.. kama ni kweli huyu bibie woman BASI KATUSEMEA MAELFU KWA MAELFU WANAWAKE👏👊..live long dada!
 
Pole sana mdogo wangu kwa matatizo ya ndoa, najua how its painful when comes kwenye suala la mahusiano....

Mdogo wangu najua unapenda sana mke wako wa ndoa, tena sana, lakini nikupe mfano mdogo sana, mkeo na mama yake hawakupendi hata kidogo, usiradhimishe ndoa kwa sababu mkeo unapenda, wao wako kundi moja, Mama mkwe, mkeo na jamaa...

Mdogo wangu alishawahi mkuta mke wake na chart za jamaa kwenye simu, akauliza nani huyu, mke alijibu simple answer just a friend, dogo alipiga moyo konde, akavumilia, mke wa dogo alihamishiwa Simiyu kikazi, dogo alipoenda mwanza kikazi mke wake, alikataa asiende Simiyu maana hakuwa na moyo wakukutana nae...

Dogo akarudi dsm, akaja akatueleza kaka zake, tulimwambia huyo sio mke wako, bali mnapotezeana mda tu, dogo alichukua maamuzi yakutengana na mke wake, wana watoto wawili, dogo kabati na watoto wake....

Mke wake hakujua kama yule jamaa anayemtapeli ni mme wa mtu, mwezi wa nane mwaka huu, mwanamke kaanza kujirudisha kwa dogo, dogo moyo ulishazoea, so hana mda na huyo mwanamke tena...

Hoja yangu ya msingi, ukiamua kuvunja ndoa, vunja, najua kuna maumivu mazito utapata, but no way out

Madhara yakukumbatia hiyo ndoa
1. Kupewa sumu ufe uwaache wale raha
2. Unakuja kuua mkeo kwa hasira, uishie jela
3. Utaumwa magonjwa kama Moyo, Pressure, hadi yataleta umauti kwako
4. Utapata ugonjwa wa sonono, pindi ukipiga simu na mkeo asipokee, moja kwa moja unajua analiwa...

Kama hiyo famillia ipo Ilemela na huyo mama ana watoto wanne, watatu wakike na mmoja wakiume, wapo kule Ilemela karibu na shule ya msingi, basi hiyo familia naijua in and out....

Kilala kheri
Maneno yaliyo jaa hekima na busara.
 
brother nimejaribu kusoma kama mara 4, i miss a point here..... sijaelewa mantiki yako nini hasa, sijaelewa why niandike jambk hili halafu isiwe na uhalisia, ili nipate nini hasa. Wanawake as you said? Kuwa serious bro wanawake mbona wengi tu mtaani kuna haja gani ya kuhangaika na wanawake hata sura huzijui.. I wish ungejua what im going through. Jaribu kukua. Nimekua user wa JF mwaka wa 4 huu, wakati mwingine sishtushwi sana na ujumbe kama huu wako....

muhimu nimepata ushauri wa kutosha. na kwa sasa i have to separate with wife, distance ni tiba kwa wakati mwingine. kama ni wishes za Mungh atarudi... Na sintoitumia tena ID hii I opened it kwa lengo hili tu..kama nilivyosema mwanzo nilifungua ID hii kwa jambo hili hivyo ni kweli nina ID nyingine moja. Asanteni

Mzee baba tulio ndoani ndo tunajua hii stry ni kwel au la!kuna wanaume hapa naamini wanapitia haya haya ila wanashindwa kutema nyongo kuogopa fedheha.. angalia ulipomkosea mkeo muombe msamha maisha yasonge mbele.. na kweli long distance can heal..! mie naamini its a true stry.. coz najua tunapitia mambo gan..ila nanyie msijioneshe mkitucheat maana ss revenge zetu huwa sio nzuri kbs kiafya!baki na mkeo..!kwanza ww kama umepitia kidg yana wepesi..shukuru Mungu kwa kila jambo!jitahid kumthamini mkeo bas na ww had simu anunuliwe na mchepuko😏(hapa hata demi atanisapoti😊)..mjali mkeo kwaadri uwezavyo...ww sasa nengeneka na vimalaya vya dom unajikujta ghafla mkeo mjamzito!anazaa UNAKUFA
 
Mzee baba tulio ndoani ndo tunajua hii stry ni kwel au la!kuna wanaume hapa naamini wanapitia haya haya ila wanashindwa kutema nyongo kuogopa fedheha.. angalia ulipomkosea mkeo muombe msamha maisha yasonge mbele.. na kweli long distance can heal..! mie naamini its a true stry.. coz najua tunapitia mambo gan..ila nanyie msijioneshe mkitucheat maana ss revenge zetu huwa sio nzuri kbs kiafya!baki na mkeo..!kwanza ww kama umepitia kidg yana wepesi..shukuru Mungu kwa kila jambo!jitahid kumthamini mkeo bas na ww had simu anunuliwe na mchepuko(hapa hata demi atanisapoti)..mjali mkeo kwaadri uwezavyo...ww sasa nengeneka na vimalaya vya dom unajikujta ghafla mkeo mjamzito!anazaa UNAKUFA
Mume anauwezo lkn anashindwa kumnunulia wife simu ya laki mbili, mcheps anatumiwa laki tano. Inakeraaaa...lazima mke apate wa kumnunulia
 
Duuuh! Kwanza polee sana kwa lililokupata.....

Niseme tu kwamba pa1 na nafasi yako kaz, fedha n. k unatakiwa kujua u kukumbuka dunia ina kanuni zake za kuendana nazo ili uweze kuishi vyema.

Ex. Ya simple life principles

1) what goes round comes around
2) mwanamke hatulizwi hadi atulie mwenyewe, mwanaume hatulii hadi atulizwe (Dr. Elie, 2018~CHOMOZA# CLoudsTv)
3)mwanaume kwa mwanamke ni mpangaji tu, yy (mwanamke ndiye mwenye nyumba)
4) krama law.......... Action and Reaction principle.

Love will always be love not a thing!!!! Binafsi siamin ktk mapenzi ya kununua au kuomba au kushawisha.... Bali naamin upendo huja automatically (smoothly, effortless)........

Kwa suala lako ni wazi ulimwibia jamaa mana ulikuwa unajua yuko nae tena ukafanya jitihada za kishilawadu kuvunja uhusiano wao ili hali unajua na ww kama mwanaume huwa unacheat vzur tyuuu..!!! Sasa hayo ndio matokeo yake......

USHAURI:
*kwenye mapenzi (matters of heart) usitumie nguvu utaumia xana

*kuwa muwazi kwa mkeo juu ya nachokijua juu yake na mjadili kama anaona bora awe na jamaa mwache......... Maisha mafupi sana ukifa ukiwa hai.....

*washirikishen wazaz b4 hamjaachana.....

Kila la kheri mkuuu.........
Hello guys!

Kama unasoma ujumbe huu naomba nikushukuru kwa kupoteza muda wa kusoma nyuzi zingine na kujua ni kipi hasa ninahitaji unishauri. Nitaanzia mbali kidogo ili upate mtiririko mzuri wa matukio na nitajaribu kuweka kila detail ya msingi ili ukiweza kunishauri, unishauri vyema. Yawezekana niko desperate kiasi cha kuonekana kuwa nauliza ushauri kwa ajabu ambalo ni la kawaida katika jamii.

Mimi ni mwanaume wa miaka 31 ni mzaliwa na mkazi wa mkoa wa DSM. Nimeoa na mke wangu ana mtoto mmoja. Ni mtumishi wa umma katika 'ofisi kuu' ya Nchi yetu.

....ilipoanzia....

Miaka mi4 iliyopita nilifahamiana na binti mmoja(wife) yeye akiwa ni mtumishi katika ofisi moja ya 'uchunguzi' HQ. Frankly nilimoenda sana at glance na hadi leo nikiri ninampenda sana, sina hakika kama niko tayari kumpoteza. Nikaanza kumfuatilia na kugundua yuko kwenye relation na jamaa mmoja ambaye ni mwanafunzi wa law SAUT mwanza, na binti alikua deadly in love with the guy ambaye wamekaa for almost 3 years back then since wakiwa High school. Jamaa anatoka mkoa mmoja na binti(lake zone). Hivyo nikaona ugumu ulipo kumpata. Nikaendelea na hustle za kumfuatilia ili nijue vita ikoje, nikichukua advantage kuwa binti niko naye dar na jamaa yuko huko mwanza. Nikaja gundua pia jamaa angalau twice per month huwa anakuja dar kwa binti na alikua akifikia nyumbani kwa binti ambapo wanaishi na sista yake. Pia nikaja gundua financially jamaa hakua vibaya sana (though hakunizidi) kwani mzee wake alikua ni 'kigogo' wa council moja huko kusini, na alikua akisimamia projects kadhaa za ujenzi za mzee wake hapo Mwanza, pia alikua na mkopo chuoni. sources ziliniambia jamaa alikua akimpiga tafu binti kwa issues nyingi kama house rent kidogo, issues mbili tatu za kimaisha. Nikagundua pia binti alikua akimumini sana jamaa, ingawa jamaa alikua ni player wa siri sana na mtu wa pombe sana... nilihisi kushindwa pambano....

...2015 march nipata info kuwa jamaa ameenda weekend kuspend uganda na ameondoka na rafiki yake na madem wawili bila kumuambia binti. Nikafanya makeke taarifa zikamfikia binti. Hapa binti akaanza kuloose trust na jamaa. To me ilikua ni point tatu. Aliporudi Uganda jamaa akaja dar, kisha binti akagundua messages za mapenzi na dem mmoja wa jamaa.. sikujua what happened next.

....few days later nikapata taarifa binti yuko frastruated na anaumwa baada ya kugundua nasty things za jamaa yake. I took advantage na nikawa close na binti nikamcare sana....siku moja tuko naye jamaa kapiga dem akamjibu dry kuwa yuko namimi hawezi ongea na simu. I told myself that im about to win... Nikawa close na binti finally nikamtia mimba na punde nikatangaza ndoa, binti aka convert kufuata dini yangu and we married. from then hakua binti tena bali wife and she gave me baby girl.....Thanks God shem zangu hawakua na shida na Mimi wala mama mkwe wangu 2015-2017 things were cool na nilijiridhisha kuwa binti hakua na mawasiliano na binti...

bahati mbaya tuliingia kwenye quarrels kadhaa baada ya kunigundua red handed mara kadhaa kuwa nina mcheat. We peacefully solved shida zetu...

But i started kunote tofauti fulani fulani. Wife hakutaka tena nishike simu yake on ground kuwa mimi sitaki ashike yangu. Mwaka huu mwanzoni nikakuta namba fulani imempigia, nikampigia na nikapokelewa na mwanaume, nikamwambia mpigie fulani (wife) alikua anakutafuta, jamaa akanijibu yeye anayo namba yangu kwanini asinipigie mwenyewe. Nikakata simu.

baada ya wiki kadhaa, nikaona namba ya jamaa imeweka d.p picha ya wife kilichonistua ni kuwa that pic sikuwahi iona..it was like my wife selfied herself and sent a pic straight to the guy. Nikachat na jamaa na kumtumia picha za wife zingine na kumuambia... weka na hizo profile....but hakunijibu chochote cha kumfanya nione kuwa wako naye kimahusiano. Jamaa alikua smart sana kwenye majibu yake akiavoid kuwa caught, nikampigia simu wife kumlalamikia kuwa kwanini mtu anaweka picha zako dp. wife akaniambia mimi ndio nina makosa zaidi na kama ningekua namuheshimu nisingemtumia picha zake zingine. Nikawa mpole i deleted those pic i sent to the guy...
some few minutes dp ya jamaa ikabadilishwa na kuwekwa pic ya dem mwingine. Namba nikainote kuicheck mpesa ina jina la kike. Nikachukua jukumu la kutrace msgs za jamaa using my position, sikuona kitu cha maana chochote zaidi ya salam. Na kuna mgs za kushukuru wife ametumiwa pesa na jamaa. Nothing shocking i noticed. Baada ya kama mwezj ile namba haikuwa hewani tena..

.....shida kubwa ikaja hapa miezi kama miwili imepita.....

as u all know public offices zinahamia dom, na mimi niko huku almost 4 months now. Nilichokuja gundua wife ananicheat. Na ananicheat kwa mtu mmoja tu, naye ni yule yule jamaa yake aliyemuacha na mimi kumuoa.

kama wiki 3 zilizopita, jamaa yangu alinitaarifu kuwa shem nimemuona lodge fulani magomeni kwa nje its like anampigia simu mtu, bahati mbaya hakujua kinachoendela sababu alikua kwenye shughuli za kiofisi. Kumpigia simu wife kumuuliza alipo, akajibu yuko ofisini. Nikamuuliza informer wangu pale ofisini kwake, akanijibu yeye hayupo ingawa gari yake ipo. i took it easy. Siku 4 baadae nikarudi dar, sikunotice shida yoyote kwa wife. nikaka kama wiki 1 pale dar nikifanya upelelezi wangu pale lodge aliyofikia. Nikipata msaada wa binti mmoja nikaonyeshwa Cctv footage ya ile hotel. Niliumia sana niliyoyaona. wife amefika pale mara tatu. Ya kwanza ndio ile aliyoonwa na jamaa yangu, second one ilikua saa 11 asubuhi na kutoka saa 3. Nikajiuliza ina maana siku hiyo hakwenda kazini. nikafuatilia na kugundua siku hiyo alitoka nyumbani saa 11 na kisha kureport kazini saa 3. What hurted me the most ni mara ya tatu... Hii ilitokea a day before, nami nikiwepo. Siku hii nakumbuka nilimuaga wife naenda town kurekebisha gari by saa 10 jioni nitakua nimerudi, mida hiyo ni saa 6. Nikiwa garage wife alinipigia sim kuwa atatoka for almost 2 hours ana issue kazini, nikamuambia poa. footage ilinionyesha kuwa aliingia pale saa 7 na ilimuonyesha akitoka saa 9 na robo. alitoka akiwa anasindikizwa na jamaa kavaa vest na boxer tu kutoka floor ya 3 hadi ground floor na jamaa akarudi. Siku hii kilichonishangaza wife alitumia uber. Bila shaka nikathibitisha wife ananicheat, na ananicheat kwa mtu ambaye yule yule niliyemdhania miaka mingi..

But nature i dont take quick judgement. Nilijipa muda wa kutafakari na kujua how deep wako na huyo jamaa this time around.

Nikafanikisha kupata namba ya jamaa. kwanza imesajiliwa kwa jina la kike.

nikagundua wana chat zaidi whatsapp hii sikuweza kung'amua kipi ni kipi. Ikabidi nicheck text messages. niliyoyakuta, hurted me the most.

1. wife na jamaa walikua wakikumbushiana ni jinsi gani walivyokua wana enjoy sex. Kila mmoja akimsifia mwenzake kuwa yuko vizuri. Lakini wife ndiye aliyekua akimsifia zaidi jamaa kuwa ni mwanume pekee anayemjua vyema na kipi cha kufanya kuwa the guy knows how to satisfy a woman. This pained me much

2. walikuwa wanazungumzia sexual fantasies zao. kila mmoja akimwambia kipi wanatamani wafanyiane. hapa paliniumiza sana, kwani wife alimuambia jamaa wakikutana atampa vyote anavyotamani na ambavyo hawakuvifanya. wife pia amemuambia jamaa they have to arrange for threesome na jamaa amekua tasked atafute dem ambaye anamuona anafaa and they guy promised to work on it.

3. wife na jamaa wanasaidiana mambo mengi hasa financially, mfano jamaa alimuongezea wife 1 M ya kununua kiwanja huko kwao, pia jamaa alimnunulia sim wife, ambayo nilijua kwa kazi yake wife simu kununua sio issue kubwa. na vitu vidogo vidogo vingi jamaa anafinance wife. Pia maza wake na wife jamaa ana msupport sana as wanaishi the same town. wife anakiri kwa jamaa kuwa yeye ndiye mwanaume pekee ambaye yuko free sana kumuambia chochote na akamsikiliza.

4. hakuna point hata moja niliyonote kuwa walishawahi kunizunguzmia, hilj linanipa shida sana. je wife hajamwambia jamaa kuwa hajaolewa? au jamaa

Guys, nimenote mengine sana, ingawa naamini kuwa mengi zaidi yapo kwenye whatsapp. nikiwa na wife, i never doubted wala openly noticing kuwa ananicheat, sim yake yuko free nayo muda mwingi na usiku hata nikiwa naye haipigiwi.. mimi ni as a man i know how hard it is to cheat na kuficha, hivyo i trusted wife 100%.

I deeply seek a wise advice from you guys on basisi kuwa siko tayari kumuacha wife, najua kiasi gani ninavyompenda, i believe she loves me, na she respects me sana, anaihandle family yangu vizuri na mtoto also family businesses.

Ninachoomba kujua ni kuwa nitafanya vipi ili aachane na jamaa, huu ndio mtihani mkubwa kwani it seems wife ni sex addicts kwa jamaa, mwezi huu ana likizo ya kwenda kwao, na jajamaa yuko the same town wife ndiyo kwao, je nimzuie asiende?... niko njia panda.. sijamuambia wife chochote na hajanotice chochote kuwa najua nini kinaendelea.. thanks guys kwa time yenu, nitashukuru kupata ushauri wenu.. Na ninaahidi kuufanyia kazi.

NOTE:KULINDA HESHIMA YANGU, KAZI YANGU I HAD TO COME WITH THIS ID
 
shangaa na ww.. unaenda mbali sana na simu kuna mambo madogo dogo sana as a husband yapaswa umefanyie mkeo..lakini wamejisahau..daily kunywa masanga... sasa atokeeBen huku..yalah!...yaan huyu ni 1 kati ya maelfu wasiojuakuwacare wake zao... wafe wakiwa wamesimama kwakwelo
 
You & her, things will never be the same again. Kimsingi kila wakati hutojiamin kwa huyo binti.

Ni mtihani mzito given your age kumfahamu anayembandua mkeo. Sijui kama utahimili.

Ni bora sasa kuamua kuliko kuishi nalo kila leo, na huenda pia furaha ya mwenzio ni kuachana na wewe ( ingawa furaha hii inaweza isidumu kwa huyo hawala yake).

Kikubwa jiangalie wewe na many years to come not kuangalia leo na kile unschokiamin kuwa huwezi ishi bila yeye.

Unachohisi kuwa kumkosa hutoweza kusonga sio mapenzi bali wivu na kushindana na mume mwenzio. Trust me, after a few months ya uamuzi sahihi wa wewe kukaa pembeni utajishangaa why hukuliona hilo.

Kungongewa maumivu , ila kungongea watu ndio ukidume, wewe kaa pembeni aendelee na msela, then kama ukiimiss bila shaka atakupa tu.

Kaka kurudisha confidence yako ni lazima uachane nae huyo bibie ( kumbuka ushauri ungekuwa vinhinevyo kama ungekuwa huna details za mwizi wako).

Ukimpata mwingine, usomchunguze sana.

Upande mwingine unaweza kuanza kuwa kitombi mpaka wote, yeye mkeo na mwizi wako wajue, piga midude kama umetumwa vile- inakurudishia kujiamin ila pia ndio inaweza kuwa break through ya kumpa mkeo ukweli wake.

Pamoja na hayo please washauri wengine wasioe mapema. Tz ya sasa kijana kuoa before 35 unajitafutia mashida ya bure.
 
Duuuh! Kwanza polee sana kwa lililokupata.....

Niseme tu kwamba pa1 na nafasi yako kaz, fedha n. k unatakiwa kujua u kukumbuka dunia ina kanuni zake za kuendana nazo ili uweze kuishi vyema.

Ex. Ya simple life principles

1) what goes round comes around
2) mwanamke hatulizwi hadi atulie mwenyewe, mwanaume hatulii hadi atulizwe (Dr. Elie, 2018~CHOMOZA# CLoudsTv)
3)mwanaume kwa mwanamke ni mpangaji tu, yy (mwanamke ndiye mwenye nyumba)
4) krama law.......... Action and Reaction principle.

Love will always be love not a thing!!!! Binafsi siamin ktk mapenzi ya kununua au kuomba au kushawisha.... Bali naamin upendo huja automatically (smoothly, effortless)........

Kwa suala lako ni wazi ulimwibia jamaa mana ulikuwa unajua yuko nae tena ukafanya jitihada za kishilawadu kuvunja uhusiano wao ili hali unajua na ww kama mwanaume huwa unacheat vzur tyuuu..!!! Sasa hayo ndio matokeo yake......

USHAURI:
*kwenye mapenzi (matters of heart) usitumie nguvu utaumia xana

*kuwa muwazi kwa mkeo juu ya nachokijua juu yake na mjadili kama anaona bora awe na jamaa mwache......... Maisha mafupi sana ukifa ukiwa hai.....

*washirikishen wazaz b4 hamjaachana.....

Kila la kheri mkuuu.........

umeandika fresh sana ...huyu Dk Elli nami huwa namfatilia sana sana... bora mjue..ila ungetoa hayo ma x na tyu!kha!!

hii ya mwanamke kutulizwa hTulii had aamue mwenyrw kutulia its true...yaan ww piga mkeo uwezavyo..acha kuacha hela ya matumiz km mkeo hajaamua kwakwel ni kazi bure..!sijui y mnatumiss kidg tu nyie wanaume!
na mkomege kuishi na sisi km ghetto life vile..!unaishi na mume anaekt km yupo 2nd yr bwana😏😏🙄🙄🙄!mnalooi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom