Cross Dress

20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,969
6,755
Sikuhizi mambo yamekuwa mazito kidgo.

Binadanamu wamekuwa wakipenda au kuhitaji kuonekana wa jinsi nyingine.
Ukiachiliambali uwepo wa Homosexual ( mapenzi ya jinsia moja, kuvutiwa na watu wa jinsia yako )

Binadamu wameamua ku advance na kubadilisha muonekano wao, kwa maumbilie na mavazi.

Wanawake wanafanyiwa pasuaji na kuwekewa viungo bandia vya kiume na kutolewa vyao, kutengeneza sauti, ku inject hormone za kiume zinazo badilisha muonekano wa sura zao kuwa kiume zaid.

Wanaume nao hawako nyuma, wanatengeneza maumbile ya kike, sauti, hormone za kike na mavazi. Ukikutana nae huwezi jua kabisa kama ni mwanaume.

Hebu check hizi picha kidogo
IMG_20161214_104328.jpg
IMG_20161214_104310.jpg
IMG_20161214_103131.jpg
IMG_20161214_103108.jpg
IMG_20161214_103048.jpg
IMG_20161214_103025.jpg
 
Kinachonishangaza na kunisikitisha ni ongezeko la vijana wa kiume kupenda kuvaa nguo za kike haswa hivi vijeans tight yaani nashindwa kabisa kuelewa!
 
Vijana wa kiume kuwa na muonekano ka mabinti, angalia huyo wa kushoto.
 

Attachments

  • wp_ss_20161214_0001.png
    wp_ss_20161214_0001.png
    89.9 KB · Views: 109
Me nafkiri wangeanza kuzaliwa without sex organ. Wakikuwa wawe huru kuchagua, maana sasa wametuchosha.
 
Back
Top Bottom