Criticism:ikithibitika judge alilikoroga kwenye hukumu dhidi ya Lema apewe namba 12

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Wanabod,kama ikithibitika kwamba yule judge alitoa hukumu dhidi ya Lema isivyostahili napendekeza apewe namba 12 kwenye list ya mafisadi na kwamba kila mkutano ni lazima azungumzwe,wazungumzaji wakuu juu ya huyu shetwan wawe Dr.SLAA na KABWE Z.NARUDIA TENA NI PALE TU IKITHIBITIKA ALITOA HUKUMU KIMAGUMASHI.
 
Back
Top Bottom