Cristiano Ronaldo aeleza sababu ya kuachana na Irina Shayk

Ronaldo Ana misimamo sana aisee, ukiangalia maisha yake ya umaskini aliokulia na mpaka Leo Hana ulimbukeni wa hela unaelewa ni mtu wa Aina gani.

Hana tattoo, anafanya mazoezi kama sio super star na siku zote anakumbuka alikotoka.

Na kumpenda mama yako sio kwamba ni mama's boy, Kuna watu wanadeka kweli kwa mama zao na hawawapendi mama zao.
Chief kumbe kwenye hizi nyuzi pia umoo🤭🤭
 
Watu mnatetea kisa aliyefanya hivyo ni Ronaldo lakini hii inamaanisha Ronaldo ni mama's boy.

Watu wa hivi ukikorofishana nao wanakimbilia kwa mama.

Hafanyi kitu mpaka go ahead ya mama.

Ukitaka akupende mpende mama yake.
Kabisa yani.. sasa kunatatizo hapo?
 
Tunaweza msema cr7 juu ya hili lakini yeye anaangalia nyuma zaidi alikotoka kama si mama yake na rafiki yake mkubwa Albert Fantrau ambaye kwenye matukio mengi pia anakuwepo! kwani pengine bila hawa asingekuwa hapa alipo ndiyo maana cr7 anashare mafanikio kwa ukaribu kuwakumbuka walio kuwa naye kwenye kipindi cha magumu! Ukapata msikia mama cr7 anamzungumzia mwanaye anashindwa hata kuelewa moyo wa upendo wa cr7 alikoutoa! Huyu mdada ni sawa na sampuli ya wadada wetu wasiotaka hata mama zetu kukaa nao japo wiki nyumbani kwa kisingizio sipati tym na wewe ni fix tu! Wanapata sana wivu kuona unafuraha na jinsia sawa na yeye!
 
Hilo ni swali fikirishi la huyo dada;

Angalieni swali lake kabla hamjaanza kumuhukumu swali ni; ""Kwanini unamleta mama yako KILA MAHALI tunapokwenda??""--- maneno "kila mahali" ndiyo msingi wa tatizo.
Kwa kifupi wanawake wengi wako hivyo..na ukishaoa bwana sio Kila mtoko unakaribisha mama .kuna mitoko mwatakiwa toka wawili .ila sio Kila mtoko hutaki mama aje wakati mimi ndio nalioia Kila kitu .nikienda sehemu nzuri na mama yuko lonely lazima niende nae .mabinti wanakoseaga hapo kutaka chukua nafasi za mama zetu .mama amenilea siwezi kumtupa kwa sababu ya wewe tuliejuana ukubwani
 
Na akina mama nao wakati fulani huwa wanakosea na hujisahau na kujikuta wakichukua nafasi ya mke.
 
Hilo ni swali fikirishi la huyo dada;

Angalieni swali lake kabla hamjaanza kumuhukumu swali ni; ""Kwanini unamleta mama yako KILA MAHALI tunapokwenda??""--- maneno "kila mahali" ndiyo msingi wa tatizo.
Unamaanisha hata chumbani kwao? Hata kitandani kwao? Swali fikirishi kweli!
 
Watu mnatetea kisa aliyefanya hivyo ni Ronaldo lakini hii inamaanisha Ronaldo ni mama's boy.

Watu wa hivi ukikorofishana nao wanakimbilia kwa mama.

Hafanyi kitu mpaka go ahead ya mama.

Ukitaka akupende mpende mama yake.
That's me no mama no gero
 
Mimi nilisoma sehemu huyo Irina alikuwa escort..na Sepp Blatter aliwahi pita nae..
Not sure kama kweli

Mkuu asilimia kubwa ya mastaa wa football ulaya wanawake wao ni makahaba. wengi wao huwa ni washamba huvamia vami tu, wakaishia kuliwa pesa, huku wazee wa mjini kama akina Blatter wakiwa washapigapiga kwa sana
 
Back
Top Bottom