Crisis ya umeme Tanzania nini cha kujifunza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Crisis ya umeme Tanzania nini cha kujifunza?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtazamaji, Mar 4, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wana jf, wananhci wote mawaziri wote, wabunge Raisk JK wananchi wote samahni sijafuate protocol. Leo najiskia kuandika gazeti

  Sakata la mtatizo ya Nishati tanzania linaibua mswali mengi kila kukicha.

  • Wizara ya Nishati imekuwepo toka uhuru ina wataalamu na mangeneer wazuri

  • Kuna wizara na idara ya sera na mipango ipo miaka mingi na ni jukumu lake ku forecst na kuishauri serkali mambo ya kufanya nch yetu istawi. Naamini kila wizara na idara ina kitengo cha Mipango amabcho kina wataalama wanalipwa na kufanya kazi zao vizuri.

  • Katika makaratasi Tanznaia ina sera nzuri za nishati ya umeme kuliko hata kenya na uganda . kuna sera hata ya kupeleka umeme vijijini.lakini ukweli hata mijini uememe si tu wa mafungu bali hata gharama zake sio za mtanzania wa kawaida.

  • Tunalo bunge tunalooita la kidemokrasia linalopitisha na kuchambua bajeti kwa maslahi ya watanzania. Bunge hili linatakiwa kumulika na kuisuhtua serikali pale inapoonekana inakwenda kinyume na matarajio ya wanachi.

  Iweje mgao wa umeme isemwe ni changamoto na sio failure. Mgao wa umeme sio changamoto kama tetemeko la ardhi au mafuriko au ajali. Ni aibu kwa kuongozi kusema mgao ni changamoto kwa tatizo limekuwepo kwa zaidi ya miaka 5 mfululizo

  • Kazi vitengo vya mipango na sera na nini. Hivi hakuna watalaamu wa kuforsee mambo hayanakushari njia na suluisho sahihi.

  • Kazi ya bajeti ni ni nini ? Je toka mwaka 2000 nini kimefanyika?
  Jakaya Kikwete rais wetu , mawaziri, wabunge na viongozi wote mambo yanavyokenda wananchi tumenaza si tu kuchukia siasa bali pia hata kuwachukia wanasiasa na viongozi wa siasa

  Imefika wakati naona hata mazuri machache aliyofanya Mkapa kama ilikuwa ni upuuzi. Najiuliza kulikwa na priority gani ya mradi wa uwanja wa taifa badala ya mradi wa Nishati. Je mradi wa daraja la ulikuwa ni muhimumu kuliko Nishati?

  Hizi hizi prority za kwenye makaratsi ndio zinafanya tuimbe mambo ya kilimo kwanza . Lakini magari mengi ya miradi ya kilimo kwanza yako mjini na sio rukwa wala ruvuma, iringa au chunya. Je dar , mwanza na arusha kuna mashamba ya kuondoa njaa? Policticaly kilimo kwanza ni sucessfull project but realistaically.......

  Nahitimisha kwa observation yangu kuwa Viongozi wetu na wahsuri wake na wansiasa hawajui ni kipi kipewe priority.

  katika hali tuliyonayo ya uhaba wa pesa tunahitaji viongozi wenye maono ya kutoa prority sahihi. Sijui mafisa hawa wa sera na mipango wanaojariwa job specifation zao zinakuwaje.

  Zaidi ya failure ya JK na Tanesco ni total faliure kwa wataalamu wa mipango na sera wa taifa na wale wa waizra ya nishati na madini. Sijui mshsuri ma masula ya Nishati wa JK ni nani naye tumjue.

  Narudia tena

  Power rationing is not a challenge its a Failure. At least ingekuwa miaka miwili au mitatu basi tungesema ni challenge.

  Tungetegemea kuona baadhi ya viongozi wanawajibika kama si kuwajibishwa.

  Nawasilisha gazeti. hasira zimepungua kidogo
   
 2. U

  Uswe JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  ndefu sana kusoma, ila to aswer your question, cha kujifunza hapa ni kimoja tu CCM*HAWAWEZI*KUONGOZA, HAWANA*TIJA!
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  yah soory nimejiskia kuandika gazeti leo na the bad thing am not a journalist.

  Yes ni kweli huu umeme na haya mambo ya DOWANS inaweza ku conclude kuwa CCM wameshindw kuongoza miaka mingi sasa wanashindwa hata kutawala nchi
   
 4. U

  Uswe JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  DOWANS ni chumvi tu katika mboga, we leo mtu akikuambia rwanda na burundi GDP per capita ni kubwa kuliko ya tanzania utaamini? jamaa wanatumia bandari zetu, tuna madina kila kona ya nchi, Tanzanite, Almasi, Dhahabu, Mbuga za wanyama, mlima mreeeefu wa kilimanjaro na kadhalika na kadhali lakini bado tuko maskini namna hii, hapo viongozi si walitakiwa watoke tu wenyewe kwa aibu?
   
 5. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,041
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  nyie chadema mmeanza siasa kwenye suala ambalo ni la msingi kujadiliwa.....MIMI NADHANI TUGEUKIE NISHATI MBADALA ILI KUPUNGUZA MAHITAJI YA KUTEGEMEA UMEME WA MAJI NA MAJENERETA AMBAO UMEDHIHIRISHA HAUTOSHELEZI MAHITAJI....!
  PIA TUNAWEZA KUONGEZA KUJENGA MABWAWA MENGINE YA KUZALISHA UMEME WA MAJI
  UPEPO.....NA JUA.....!: TUKIVITUMIA IPASAVYO TUNAWEZA KUPATA UMEME TOSHA WA MATUMIZI YA MAJUMBANI,MASHULENI,MAOFISINI NA HATA KWENYE MAHOSPITALI Ili tuache umeme mkubwa usambazwe viwandani na sehemu nyingine zinazohitaji umeme mkubwa
   
Loading...