Crew Member wa Orijino Komedi (TBC1) Amefariki Dunia

Sooth

JF-Expert Member
Apr 27, 2009
3,928
5,615
Habari kwa ufupi radio TBC FM saa 10:00 alfajili leo: Crew member (sio mwigizaji) wa kundi la vichekesho la orijino komedi ya TBC1 amefariki dunia kwa ajali ya pikipiki iliyotokea maeneo ya Kimara baada ya kugongwa na basi la Hood. Jina Mohamedi Muya!!? (am not so sure kuhusiana na jina)
 
kifo hakina smile,siku ikifika tu anayetarajiwa anaondoka......isipokua 7bu ndo ajali
 
serikali inasema "ulevi noma" mimi nasema "pikipiki noma ile mbaya"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom