Uwezo wa Mbowe kiuongozi umejengwa kwenye misingi ya busara, hekima, ustaarabu, uvumilivu, ujengaji hoja na ujasiri. Mbowe angekuwa hana uwezo huo tungemuona akigombana na watu kama Makonda ambaye amekuwa akimdhalilisha mara kwa mara pasipo na sababu za msingi, lkn matokeo yake amekuwa akiwapuuza na kuwahurumia kwa uchanga wao.
Kwa uchache tu naweza kutaja, kuvunjwa kwa Bilicanas, Kupimwa madawa ya kulevya, kuvunjwa kwa bustani yake, kufanyiwa fujo mikutanoni, kukamatwa mara kwa mara na kufungwa jela mara kwa mara, inatosha kabisa kupima busara zake.
Kwa mfano leo, hakukuwa na sababu za msingi kwa Makonda kumhusisha Mbowe na ugonjwa wa mtoto wake.
Ndiyo maana nasema vijana kama hawa Makonda, Sabaya and the likes, itakuwa vigumu sana kwao kuondoa credibility ya Mbowe aliyoijenga kwa kipindi kirefu