Credibility ya Mbowe haiwezi kuvunjwa na watu dizaini ya akina Makonda na Ole Sabaya

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
20,080
2,000
Uwezo wa Mbowe kiuongozi umejengwa kwenye misingi ya busara, hekima, ustaarabu, uvumilivu, ujengaji hoja na ujasiri. Mbowe angekuwa hana uwezo huo tungemuona akigombana na watu kama Makonda ambaye amekuwa akimdhalilisha mara kwa mara pasipo na sababu za msingi, lkn matokeo yake amekuwa akiwapuuza na kuwahurumia kwa uchanga wao.

Kwa uchache tu naweza kutaja, kuvunjwa kwa Bilicanas, Kupimwa madawa ya kulevya, kuvunjwa kwa bustani yake, kufanyiwa fujo mikutanoni, kukamatwa mara kwa mara na kufungwa jela mara kwa mara, inatosha kabisa kupima busara zake.

Kwa mfano leo, hakukuwa na sababu za msingi kwa Makonda kumhusisha Mbowe na ugonjwa wa mtoto wake.

Ndiyo maana nasema vijana kama hawa Makonda, Sabaya and the likes, itakuwa vigumu sana kwao kuondoa credibility ya Mbowe aliyoijenga kwa kipindi kirefu
 
Jo Tsoxo

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,099
2,000
Uwezo wa Mbowe kiuongozi umejengwa kwenye misingi ya busara, hekima, ustaarabu, uvumilivu, ujengaji hoja na ujasiri. Mbowe angekuwa hana uwezo huo tungemuona akigombana na watu kama Makonda ambaye amekuwa akimdhalilisha mara kwa mara pasipo na sababu za msingi, lkn matokeo yake anawapuuza na kuwahurumia kwa uchanga wao.

Thanks GT.
 
Himalaya

Senior Member
Mar 27, 2019
174
500

Mbowe na Makonda wapi na wapi? AB ni taahira wa kuupuzwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
6,223

Makonda na hilo genge ulilolitaja ni vibaka wavuta bangi waliodandia siasa. Kwa rais mwenye busara hawezi kuwa na watu kama wale kwenye safu yake ya uongozi. Pole sana mama VP najua unaumia kimya kimya kwani unaonekana kuwa na busara kiasi
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
107,161
2,000
Hao hawatusumbui hata kidogo na naamini kabisa kuwa hata na alio fuatana nao wa najisikia aibu sana moyoni ila hawana pa kusemea.
Uwezo wa Mbowe kiuongozi umejengwa kwenye misingi ya busara, hekima, ustaarabu, uvumilivu, ujengaji hoja na ujasiri. Mbowe angekuwa hana uwezo huo tungemuona akigombana na watu kama Makonda ambaye amekuwa akimdhalilisha mara kwa mara pasipo na sababu za msingi, lkn matokeo yake amekuwa akiwapuuza na kuwahurumia kwa uchanga wao.

Kwa uchache tu naweza kutaja, kuvunjwa kwa Bilicanas, Kupimwa madawa ya kulevya, kuvunjwa kwa bustani yake, kufanyiwa fujo mikutanoni, kukamatwa mara kwa mara na kufungwa jela mara kwa mara, inatosha kabisa kupima busara zake.

Kwa mfano leo, hakukuwa na sababu za msingi kwa Makonda kumhusisha Mbowe na ugonjwa wa mtoto wake.

Ndiyo maana nasema vijana kama hawa Makonda, Sabaya and the likes, itakuwa vigumu sana kwao kuondoa credibility ya Mbowe aliyoijenga kwa kipindi kirefu

In God we Trust
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
107,161
2,000
Yule mama Mungu ampe uvumilivu
Makonda na hilo genge ulilolitaja ni vibaka wavuta bangi waliodandia siasa. Kwa rais mwenye busara hawezi kuwa na watu kama wale kwenye safu yake ya uongozi. Pole sana mama VP najua unaumia kimya kimya kwani unaonekana kuwa na busara kiasi

In God we Trust
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
172,870
2,000
Kupayuka! Mbinu mpya ya kubaki kileleni? - JamiiForums
Uwezo wa Mbowe kiuongozi umejengwa kwenye misingi ya busara, hekima, ustaarabu, uvumilivu, ujengaji hoja na ujasiri. Mbowe angekuwa hana uwezo huo tungemuona akigombana na watu kama Makonda ambaye amekuwa akimdhalilisha mara kwa mara pasipo na sababu za msingi, lkn matokeo yake amekuwa akiwapuuza na kuwahurumia kwa uchanga wao.

Kwa uchache tu naweza kutaja, kuvunjwa kwa Bilicanas, Kupimwa madawa ya kulevya, kuvunjwa kwa bustani yake, kufanyiwa fujo mikutanoni, kukamatwa mara kwa mara na kufungwa jela mara kwa mara, inatosha kabisa kupima busara zake.

Kwa mfano leo, hakukuwa na sababu za msingi kwa Makonda kumhusisha Mbowe na ugonjwa wa mtoto wake.

Ndiyo maana nasema vijana kama hawa Makonda, Sabaya and the likes, itakuwa vigumu sana kwao kuondoa credibility ya Mbowe aliyoijenga kwa kipindi kirefu

Jr
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
7,152

Kuna kijana kasema usimjibu mjinga ili nawe usije kuonekana mjinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnyanyembe wa Mboka

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
2,074
2,000
Uwezo wa Mbowe kiuongozi umejengwa kwenye misingi ya busara, hekima, ustaarabu, uvumilivu, ujengaji hoja na ujasiri. Mbowe angekuwa hana uwezo huo tungemuona akigombana na watu kama Makonda ambaye amekuwa akimdhalilisha mara kwa mara pasipo na sababu za msingi, lkn matokeo yake amekuwa akiwapuuza na kuwahurumia kwa uchanga wao.

Kwa uchache tu naweza kutaja, kuvunjwa kwa Bilicanas, Kupimwa madawa ya kulevya, kuvunjwa kwa bustani yake, kufanyiwa fujo mikutanoni, kukamatwa mara kwa mara na kufungwa jela mara kwa mara, inatosha kabisa kupima busara zake.

Kwa mfano leo, hakukuwa na sababu za msingi kwa Makonda kumhusisha Mbowe na ugonjwa wa mtoto wake.

Ndiyo maana nasema vijana kama hawa Makonda, Sabaya and the likes, itakuwa vigumu sana kwao kuondoa credibility ya Mbowe aliyoijenga kwa kipindi kirefu
Ni washamba sana uswahilini kwetu tunawaita maboya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom