CRDP kuna ulazima gani kwa mtumishi wa Serikali kuhamishia akaunti yake kwenu na wakati mkopo unaingizwa Lawson?

MtanzaniaOG

JF-Expert Member
Apr 7, 2021
432
1,028
Baada ya Waungwana CRDB kushusha riba hadi 13% sasa wamekuja na masharti ya watumishi wanaotaka kukopa kuhamishia akaunti ya mshahara huko!

Sasa hii ina ulazima gani kwa watumishi wa Serikali ambao mishahara yao inapitishwa kwenye mfumo wa LAWSON kuwashurutisha kupitisha mishahara crdb??

Kuna fair competition hapa kwa mabenki mengine ambao tunabank nao na tunapata huduma nyingine ambazo ni binding kati ya Bank na Mteja?

Kwamba wanaogopa kutakuwa na default ya Serikali na wakati Mishahara inapitishwa kwenye mfumo?
 
KIMEI kaondoka na benki yake

Waliobaki wanakosa ubunifu

Watakuja kupitwa hata na SACCOS
 
Mkuu unataka mboga upeleke NMB chakula ukale CRDB?

Hata kama mimi ningekuwa CRDB nisingekubali
 
  • Kicheko
Reactions: amu
Back
Top Bottom