CRDB yazindua Huduma za Kibenki za CRDB Wakala Ndani ya Ofisi za Posta

PendoLyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
879
956
Uzinduzi wa Huduma za Kibenki za CRDB WAKALA Ndani ya Ofisi za Posta Tanzania nzima.

"Niseme mmeanza Vizuri sana, mimi kama waziri niwapongeze sana kwa Hatua hii, nimefarijika kwa Ushirikiano huu kati ya Posta na Benki ya CRDB."

Mh. Daktari, Faustine Ndugulile - Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Ya HabariView attachment 1880258View attachment 1880257View attachment 1880259
IMG-20210804-WA0256.jpg
 
CRDB wezi.
Ukiacha hata milioni 2 kisha uje urazame salio baada ya miezi 2 unaweza kukuta bado elfu 3 na mia tatu
 
Back
Top Bottom