CRDB wekeni hili sawa

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,023
Ukitoa hela ATM muda huo huo kwenye simu yako inaingia message kuna hela yako imetolewa kwenye account yako.
Ukihamisha hela kwa Simbaking ukiwa popote kwenye account ya mtu mwingine saa hiyo hiyo huyo mtu anapata message kuna hela imeingia kwenye account yako kutoka account number 01J21437xxxx7 ni mfano tu.

Sasa ajabu ukiingiziwa hela counter au mshahara mbona hakuna message inaingia kwenye simu yako hata kama umejiunga na Simbanking?

Naomba ufafanuzi wakati mwingine uko porini hakuna bank mtu anakupigia ile 25000 shaingiza kwenye account yako utajuaje kaingiza. Let say una millioni 27 laki saba banki ongezeko la 25,000 huwezi gundua haraka hata ukienda kucheck salio kwa kadi ukiingia mjini ni rahisi kulizwa tuhela tudogo.
 
Hata NMB nao walikuwa wanaleta hizo sms za kuwekewa hela kwenye account, ila siku hizi hawaleti. Sijui tatizo nini wameacha kutujulisha
 
Hizo msg crdb zinakuwepo mara moja moja. Nadhani na mambo ya mtandao wa simu yanachangia pia
 
Ukitoa hela ATM muda huo huo kwenye simu yako inaingia message kuna hela yako imetolewa kwenye account yako.
Ukihamisha hela kwa Simbaking ukiwa popote kwenye account ya mtu mwingine saa hiyo hiyo huyo mtu anapata message kuna hela imeingia kwenye account yako kutoka account number 01J21437xxxx7 ni mfano tu.

Sasa ajabu ukiingiziwa hela counter au mshahara mbona hakuna message inaingia kwenye simu yako hata kama umejiunga na Simbanking?

Naomba ufafanuzi wakati mwingine uko porini hakuna bank mtu anakupigia ile 25000 shaingiza kwenye account yako utajuaje kaingiza. Let say una millioni 27 laki saba banki ongezeko la 25,000 huwezi gundua haraka hata ukienda kucheck salio kwa kadi ukiingia mjini ni rahisi kulizwa tuhela tudogo.
Hawa jamaa Mungu anawaona wanashindana utajiri ila watapata majibu
 
Mimi NMB sijawahi kupata msg ya kuwekew hela hata siku moja. ila nikitoa tu, ATM inahesabu hela msg ishaingia.
nishajaza mafomu ya alert lakini wapii!
 
Ukitoa hela ATM muda huo huo kwenye simu yako inaingia message kuna hela yako imetolewa kwenye account yako.
Ukihamisha hela kwa Simbaking ukiwa popote kwenye account ya mtu mwingine saa hiyo hiyo huyo mtu anapata message kuna hela imeingia kwenye account yako kutoka account number 01J21437xxxx7 ni mfano tu.

Sasa ajabu ukiingiziwa hela counter au mshahara mbona hakuna message inaingia kwenye simu yako hata kama umejiunga na Simbanking?

Naomba ufafanuzi wakati mwingine uko porini hakuna bank mtu anakupigia ile 25000 shaingiza kwenye account yako utajuaje kaingiza. Let say una millioni 27 laki saba banki ongezeko la 25,000 huwezi gundua haraka hata ukienda kucheck salio kwa kadi ukiingia mjini ni rahisi kulizwa tuhela tudogo.
Pia kwanini wakikata zile charges zao za mantance, ATM fee na wizi mwingine kwanini msg hatupati?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom