CRDB wamezuia shilingi elfu kumi kwenye akaunti yangu! Nawezaje kuipata?

Duu pole Sana Ayse, kiukweli wanakera Sana
Aisee wasamehe niliwahi vunja kadi yao mbele ya branch manager wa mlimani city kwa hasira.kisa kilikuwa nilikaa muda wa miaka 4 akaunti yangu ikiwa dormant,siku ya siku nikasema nikarecharge ila kwanza nikaomba mwongozo wao,wakasema utakatwa 5000 kama adhabu nikasema poa,wakaniambia niweke akiba.nikaweka 25000,ili wakate 5000 yao ingine itunze akaunti,nikatoka nje nikasema nicheki balance naambiwa nina 1400 tu.kurudi ndani naomba majibu wananiambia akaunti yako ilikuwa na njaa nilivunja kadi nikaachana nao.siwataki tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom