M MPadmire JF-Expert Member Mar 7, 2006 3,928 3,225 Jun 15, 2009 #1 Nimepata habari kuwa Benki za CRDB,TIB na PTA zimeikopesha Hotel ya Mt Meru ya Arusha dola million 24 za marekani kwa ajili ya ukarabati. Sasa je, ni nani anamiliki hii hoteli kwa sasa??
Nimepata habari kuwa Benki za CRDB,TIB na PTA zimeikopesha Hotel ya Mt Meru ya Arusha dola million 24 za marekani kwa ajili ya ukarabati. Sasa je, ni nani anamiliki hii hoteli kwa sasa??
Lambardi JF-Expert Member Feb 7, 2008 16,496 17,372 Jun 15, 2009 #2 Jamani si walisema Fredrick Sumaye???au kuna mabadiliko??
Lambardi JF-Expert Member Feb 7, 2008 16,496 17,372 Jun 15, 2009 #3 Jamani si walisema Fredrick Sumaye???au kuna mabadiliko??
Nyambala JF-Expert Member Oct 10, 2007 4,465 1,170 Jun 15, 2009 #4 Skills4Ever said: Jamani si walisema Fredrick Sumaye???au kuna mabadiliko?? Click to expand... Kuna kipindi hata serikali iliwahi kutamka wazi kwamba haimfahamu mmiliki
Skills4Ever said: Jamani si walisema Fredrick Sumaye???au kuna mabadiliko?? Click to expand... Kuna kipindi hata serikali iliwahi kutamka wazi kwamba haimfahamu mmiliki