CRDB tawi la Kiteto, huduma mtarejesha lini?

rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
2,967
3,189
CRDB tawi la Kiteto mbona inaenda wiki sasa mnatuambia cash amna au bado mnasubir noti mpya kutoka Benki Kuu kama mlivyo tuambia?
 
Nenda kwa mawakala wao, noti zipo za kutosha. Au unataka kuchukua mpunga mnene zaidi ya TILIONI KADHAA.
 
Aisee huko ndo kunafaa kusevu hela unaziweka tu ukienda ATM wanakuambia hela hamna.
 
Back
Top Bottom