Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 351
Nianze kwa kusema kwamba nilifarijika sana nilipopata habari za Account ya Tanzanite na kuamua kujiunga mwaka 2006 katikati.Kero kubwa niliyokutana nayo kwa kipindi cha mwaka mzima ni kutokuwa na Cash Card mimi binafsi pamoja na wateja wote tuliokuwa na accounts za UK Sterling Pounds, this means nilipokuwa bongo every time I wanted some money ilinilazimu kupanga foleni na kwa wale wenye hizi accounts mtakubaliana na mimi ni jinsi gani process nzima ya kutoa hela za kigeni counter ilivyokuwa ndefu.Ukienda kwenye branch za mikoani ndio usiseme hasa kama hela unazotaka ni pounds!
Mwaka jana kwenye june nikapata email toka CRDB ikinijulisha kuwa Tembo kadi yangu iko tayari na wanahitaji address yangu ya UK ili waweze kunitumia. Lakini email yenyewe ilikua ni ya kienyeji sana,ulimwengu huu wa siku hizi uliojaa matapeli kibao nilitegemea email yoyote ya CRDB iwe na kwenye headed paper au hata kuwe na logo yao lakini ilikua kama personal email.Kadi nilipoipata I was really excited kwenda kwenye ATM kucheck salio, cha kushangaza hiyo VISA card yao haiwezi kukuonyesha salio ila inakuruhusu ku withdraw! Utawezaje ku withdraw bila kujua kilichomo? bora basi hata wangekuwa wanatutumia paper statement wateja tulioko nje ya nchi lakini kwa kipindi cha miaka miwili sasa nimepokea statement moja tu ya mwezi wa kwanza niilipojiunga.Niliwahi kuwapigia simu na kusuggest tuwe na uwezekano wa ku view balance zetu online lakini nikaambiwa kuwa hiyo huduma itatugharimu wateja hela nyingi sana!
Tanzanite account nafikiri target group yake ni wateja wanaoishi nje ya nchi sasa why should I pay 1 pound everytime I withdraw my own money. Hata kama kuna gharama za kuprocess hizo withdrawal transactions zinazofanyika nje ya nchi kuna justification yoyote ya ku charge Tsh.2300 kwa kila trip yangu kwenye ATM? Kama unataka kunua chochote kwa kutumia hela zako zilizoko kwenye Tanzanite ni lazima uwithdraw hela kwa kuwa hii card yao sio CHIP AND PIN, sasa huu si mtego wa makusudi?Kwanini CRDB wasitupe kadi ambazo zinaendana na mazingira ya huku tunapoishi if they really mean business?
Kero yangu ya mwisho ni hawa ma agents wa CRDB waliosambaa nchi mbalimbali duniani.Ni lazima niseme kwamba jambo la kushangaza ni kwamba kadi yangu na deposit book vilipitia kwa Agent mmoja wa UK japokuwa CRDB wana address yangu, sijui kwa nini havikutumwa directly kwangu. Na nyuma ya bahasha kulikua na address ya agent ya huku meaning that yeye ndiye alivitia vitu hivyo kwenye bahasha na kuvipost kwangu.Hawa ma agents ni watu ambao sijui hata ni vigezo gani vimetumika kuwapata and I must say I dont feel comfortable that someone out there has got all my details-My full name and address, my account number with my life time savings, I have been put in a vulnerable position.
Je wewe haya yamewahi kukukuta?