CRDB mlimani jiongezeni, not pro "Humu kaz tu"

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,596
1,071
Kwa zama hizi kuwaweka foleni wateja kwa zaidi ya masaa matatu ++ haiingii akilini.
Wateja tunawafuata ila tija ya kutuhudumia tuondoke mapema kwenda kuzalisha ktk maeneo yetu imekuwa shida. Siku inaishia kwenu kusubiri huduma.

Wenye magari wanaumia kwa kutozwa parking charges kubwa kutokana na muda mrefu wa kukaa bank.

Ongeza wafanyakazi na madirisha.
 
Siku account yako ikipata shida. Labda umetumiwa hela haijafika, wamekukata hela zaidi ya uliyotoa. Ndio utawafahamu kuwa ni wa....... Sana. Sina hamu nao kabisa. Halafu eti wanamsikiliza mteja. @#&%!(%#"*:;- kabisa
 
Kwa leo wameniharibia siku yangu. Customer care ZERO kabisa. must improve.
 
Back
Top Bottom