CRDB mlilenga nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CRDB mlilenga nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Inkoskaz, Jun 7, 2011.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Yale mabasi TATA ya watoto wa shule siyaoni kwetu,hivi mlilenga route zipi na watoto wa shule zipi? Mlishafuatilia kuona kama kweli yanasaidia?je yana ratiba maalum au yapoyapo tu? Hebu niwaulize...hivi mliyalipia ushuru?
  Au mmeamua kuwa akina A1 outdoor mnatangaza Junior Accounts bila advertising fee? Tena ni mobile signboard moving around municipal zote..
  Kama ipo okay benki nyingine mbona hamuongezi?mtuwekee hadi feri na mengineyo?
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  wazee wa master card mpoo?
   
Loading...