Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,511
- 10,417
Yaani unakosea kutuma hela, halafu muamala unarudishwa kwa yule uliyemtumia badala ya pesa kuja kwako au kurudi bank?ushawahi kukosea namba? Ukikosea usumbufu utaoupata huta tamani tena kutumia hiyo sim banking kwanza utaambiwa kapige simu kwa mtandao husika kabla muhusika hajazitoa, kisha ndiyo upige simu bank baada ya hapo usubiri masaa 72 halafu hiyo hela wataituma kwa namba uliyokosea HAIRUDI KWENYE ACCOUNT YAKO sasa fikirikia kama uko safarini na umelipia bidhaa utafanyaje? Unaweza jikuta unalipia bidhaa mara mbili ...we mbwa uwe unafikiri kabla ya kuandika