CRDB mikopo kwa Wafanyakazi sector zote riba 14%-16% kiwango maximum 100 milions 1-7yrs

2016 nilikopa NMB 7.8ml for 5 yrs, kwa makato ya 224000 per month kwa hesabu za haraka haraka hapo ntawalipa 14ml

Sijui uchanganuzi wa hiyo 14-16% upo WAP

Wakati hapo ni 50%

Hamna watu waongo na wasio aminika katika mikopo kama mabank ya kitanzania
 
Wakuu habarini kuna jamaa yangu wa karibu sanna kaniomba msaada niulizia hapa naamini kuna wataalam wazuri sana aamini sitokosa msaada, naam kaenda bank nbc kutaka kukopa na kuangalia riba zao zipo je!
Kwa mshahara wake 2.6m kaambiwa atapata 54m, kwa miaka 6, na marejesho yake ni m1.267000 a mounth,riba yao watachukuwa m37,224000
Je wakuuu kwa hesabu hiyo riba yao si kubwa? Ukilinganisha na crdb au bank nyengine? Shukran
Nmb ukikopa milion 50
Screenshot_20200813-120836~2.jpg
 
Habarini za muda huu wakuu,

Ukirejea kwenye kichwa husika, kuna promotion ambayo ime trend sana hivi punde toka CRDB juu ya mikopo inatolewa kwa wafanyakazi wa sector zote binafsi na za umma,kwa riba ya asilimia 14-16 yenye muda kuanzia 1year to 7years hii ni kwa wafanyakazi walioajiriwa wenye mikataba ya kazi ya kudumu, unaweza kopa kuanzia Milion1- Milioni 100.

Swali langu ni kwanini ukienda ofisini kwao maelezo yao yana kinzana na matangazo yao unakutana na mambo tofauti kidogo,hebu tusaidiane kwa yoyote humu ndani aliejaribu kuomba huu mkopo naomba anipe ufafanuzi kidogo kakutana na changamoto zipi.

Vivyo hivyo nasikia NMB wanatoa mkopo kama huo huo kwa wafanyakazi wenye riba 14%-16% miaja7 kuanzia 1m-100m, Je kwa NMB ni lazima mshahara upite kwenye bank yao.

Kati ya CRDB vs NMB wapi kuna unafuu kwenye kupata huu mkopo?

Tusaidiane kimawazo wakuu,tujikwamua tundwe sote kwenye uchumi wa kati

Jiandae na yafuatayo: ada ya mkopo(loan procc fee %, bima %, riba %,kufungua ac% pamoja na dhamana, kama utakopa 10m, fedha taslimu utakayopewa haitafika 10m, na utakayo lipa ni hiyo pesa chini ya 10m jumlisha na hiyo riba 14% ambayo kwa mwaka ni kama 1,400,000/ . Hii maana yake ni kuwa kwa huo mkopo wa "10m" utalipa takriban 3m riba ambapo ni 30% interest na siyo 14%, habari ndiyo hiyo. Kuna charges utakutana nazo ambazo ni in direct
 
2016 nilikopa NMB 7.8ml for 5 yrs, kwa makato ya 224000 per month kwa hesabu za haraka haraka hapo ntawalipa 14ml

Sijui uchanganuzi wa hiyo 14-16% upo WAP

Wakati hapo ni 50%

Hamna watu waongo na wasio aminika katika mikopo kama mabank ya kitanzania
Hiyo 16% naona kama ni ya kila mwaka
 
Hiyo riba umeipigia kwa straight method, hawa ndugu zetu wenyewe wanatumia reduce balance method, all in all shukrani kwa ushauri, nilipita kwao wakanipa taarifa zilizo kamili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2016 nilikopa NMB 7.8ml for 5 yrs, kwa makato ya 224000 per month kwa hesabu za haraka haraka hapo ntawalipa 14ml

Sijui uchanganuzi wa hiyo 14-16% upo WAP

Wakati hapo ni 50%

Hamna watu waongo na wasio aminika katika mikopo kama mabank ya kitanzania

Sasa mkuu wakati wakuchukua mkopo ni kwanini hukutaka kujua kila kitu au ni uvivu tu wakutaka kuelewa, ungeomba kujua riba wanapataje, na je mkopo siku ya mwisho unalipaje i mean principal and interest ili kujua unavyokopa ni kiwango gani narudisha na je wanatumia formular gani, usichukue mkopo kama huna taarifa zake vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiandae na yafuatayo: ada ya mkopo(loan procc fee %, bima %, riba %,kufungua ac% pamoja na dhamana, kama utakopa 10m, fedha taslimu utakayopewa haitafika 10m, na utakayo lipa ni hiyo pesa chini ya 10m jumlisha na hiyo riba 14% ambayo kwa mwaka ni kama 1,400,000/ . Hii maana yake ni kuwa kwa huo mkopo wa "10m" utalipa takriban 3m riba ambapo ni 30% interest na siyo 14%, habari ndiyo hiyo. Kuna charges utakutana nazo ambazo ni in direct

Crdb

Bima ni 1%
Process fee 1.8% of the loan
Dhamana yako ni ajira yako
Na riba haipigwi kwa mwaka maana njia sio straight method ni reduced method

Vyote hivyo wanakata kwenye mkopo unaoupokea

Unaweza wapotosha watu kwa ulichoandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kisheria inatakiwa mkopaji aambiwe mambo wazi wazi juu ya riba atakatajwe, kwa muda gani, ili mkopaje ajua anaweza afford au lahasha, wanasheria watusaidia kwenye hili
Kuna mikataba ambayo unatakiwa ujaze Ina kila kitu sema wengi wakishawekewa mkopo hawaendi benki kufuata hiyo mikataba na bank hawaangaiki kusisitiza watu wachukue mikataba.
 
Jana nami nilienda nmb kuuliza kama napata mkopo ili nipate tu maarifa. Nikagundua mikopo hii hata iwe riba 13%mkopo wa muda mrefu ni hatari.
Miaka 7 mkopo mil 23 Makato laki nne sabuni na kitu huko
 
Back
Top Bottom