CRDB mbona hamuweki hela na nilishatimiza msharti ya kuewa mkopo

Kwa kweli CRDB mnachotufanyia sicho. Kwa Nini mnatusumbua hivi?
Mtu unajaza mkopo unatimiza masharti yote lakini hamuweki hela.Imagine inafikia mpaka mnaanza kukata makato bado hamjawwka hela.Kama mmefilisika di mseme ukweli na msimamishe huduma ya mikopo kuliko kusababisha stress kiwango hili?

Halafu jana watu walianzisha thread kulakamikia tatizo hili thread zilidumu sekunde kadhaa zikawa deleted kabisa

Why mbona threads nyingi nyingine hazina maana kabisa hamziondoi

Please acheni watu watoe malakamiko yao ya moyoni
HADI SASA HUJAPATA MKOPO ULIOOMBA?
 
Mie mwenyewe niliomba mkopo wakaanza leta sound.. nikashukuru walivyo hata ninyima.. nikaepukana na ma riba yao
 
Back
Top Bottom