CRDB kutokutoa notification sms pindi hela ikiingia kwenye account kwa hoja ya kwamba kama kuna mtu alikosea kukutumia utaitoa haraka ni sawa?

quantumQ

Senior Member
Dec 11, 2013
111
82
CRDB kutokutoa notification sms pindi hela ikiingia kwenye account kwa hoja ya kwamba kama kuna mtu alikosea kukutumia utaitoa haraka ni sawa?

mimi nataka deposit yoyote ikifanyika kwenye account yangu nijue bila kuangalia salio au statement

Huwa mshahara unaingia wenzangu wa NMB wanapata sms ila mimi wa CRDB sipati

Kama wameshindwa kabisa kutoa notification ya aina yoyote kwa nini wasimpe mteja option ya kuchagua trusted sources ambazo hela zikiingia kutokea huko mfano Salary niwe notified

Nilichat na Customer Care wao kwenye website yao ila alinijibu vibaya na hata hakuzingatia kuchukua pendekezo langu halafu wanajiita "The Bank that Listens"

Kama ni "The Bank that Listens" kwa nini wasimsikilize mteja anachotaka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
karibu NMB mkuu
 
Mimi NMB sijawahi kupata sms hela ikiingia. Ila nikitoa tu, yaani ATM inahesabu na sms hapohapo napata.
 
Na kila sms mteja analipia sio chini ya sh 200,kwaiyo ukitoa hela unakataa kiasi kwa ajiri ya makato ya kutoa fedha pamoja na sma
 
Mtoa mada sms alert ni huduma kama zilivyo huduma nyingine bank inaweza kukupa
1.kwanza hiyo huduma ww mteja unatakiwa uiombe
2.huenda zamani ulikuwa unapata sms notification lakini zipo sababu huduma hiyo huacha kufanya kazi mfano umebadili namba ya simu uliyojiunga nayo kwenye kyc forms hivyo huwezi kupata sms
3.tembelea tawi lolote lililo karibu nawe utasaidiwa
Hakuna bank isiyo na makato but zipo huduma fulani na aina ya akaunti hazina makato kulingana na mpangilio na huduma husika na
Kwa kukuhakikishia crdb ndio bank kati ya zile bank giant tanzania ina makato mdogo kuanzia kwa WAKALA,atm na over counter
Tufanye uchunguzi kabla ya kulaumu
Kama mtu anajiamini alete akaunti za crdb na bank nyingine zote zile na makato tumalize utata
NOTE: BANK ZOTE ZINAONGOZWA NA BOT WAO NDIO HUTOA MIONGOZO WA NAMNA YA KUENDESHA BIASHARA YA BANK HAIWEZEKANI KUTOA ELFU KUMI CRDB IWE ELFU TANO WAKATI BANK NYINGINE IWE ELFU MOJA,
SAME GROUND FAIR COMPETITION
 
Back
Top Bottom