CRDB Holland house huduma kwa wateja mjirekebishe

Bijou

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,242
355
Kama ni tatizo la kitaifa, ni huduma kwa mteja, CRDB Holland house kuna mdada mkono wa kushoto ni jipu tambazi, hana kauli nzuri KWA wateja, wewe dada hujui kuwa sisi wateja ndiyo tunakulipa mshahara? Jirekebishe
 
Ni kweli hako kadada kana majibu mabaya sana kwa Wateja kuna siku mimi nilitaka kwenda kwa meneja wa branchi kulalamika
 
Hahahaha malalamiko kuhusu huyu dada kuna mdau alileta kama sikosei 2014 .. Wadau walitiririka sana , bado hajajirekebisha
 
Mie ngeenda kwa meneja moja kwa moja.. Hao wadada wengine wanaajariwa sababu ya uzuri but hawana maadili ya kazi .. IQ zao ndogo sana
 
I wonder mpaka leo watu bado mnatumia huduma za CRDB. Ni benki ya ajabu sana. It seems hata Kimei kukaa pale miaka mingi he has run out of ideas!
 
I wonder mpaka leo watu bado mnatumia huduma za CRDB. Ni benki ya ajabu sana. It seems hata Kimei kukaa pale miaka mingi he has run out of ideas!
Hata me nawashangaa sana watu wanaotumia CRDB!

wanalalamika tu kila kukicha bila kuchukua action yoyote, hivi CRDB ni mama au baba yenu??
 
Mtu kama huyo waweza kuta hajasomea,kaingiza kijanja janja,haoni uchungu hata akipoteza zaki.
 
Mimi baada ya kuona ATM zao kila nikienda kutoa hela si Holland House, tower branch wala pale azikiwe unakuta tu zimeandika Error nikamwambia muajiri wangu chap chap,

with immediate effect from this month please channel my all benefit to the new banker whose details are attached here in.

Hiyo ikawa end of the story.
 
Back
Top Bottom