CRDB, fanyieni kazi tatizo la business transactions, nmeshindwa kupata huduma

CRDB sasa imekuwa kama kitengo cha NMB kwani uongozi mpya umechukua Directors/Managers kwa kiasi kikubwa NMB (completely recycling). Idea/Model ya NMB ndio imepandikizwa CRDB yaani ubunifu ni zero kabisa (copy and paste).

Nyinyi Wachaga sijui mkoje , yaani mnataka kila kitu muwe nyinyi tu?
 
Mkuu nakuunga mkono, CRDB inazingua sana.

Mimi nimeshajaribu kujiunga na Internet Banking zaidi ya mara tano kwa matawi matatu tofauti hadi leo kimya. Kila baada ya kujaza fomu naambiwa nitapokea email hadi leo tangu nijaze fomu ya mwisho mwezi umeisha email haijafika. Nadhani hawa jamaa wanashida sehemu kwenye hizi huduma zao za kimtandao.
 
Mkuu nakuunga mkono, CRDB inazingua sana.

Mimi nimeshajaribu kujiunga na Internet Banking zaidi ya mara tano kwa matawi matatu tofauti hadi leo kimya. Kila baada ya kujaza fomu naambiwa nitapokea email hadi leo tangu nijaze fomu ya mwisho mwezi umeisha email haijafika. Nadhani hawa jamaa wanashida sehemu kwenye hizi huduma zao za kimtandao.
Kweli mkuu, mimi nilitaka jiunga na sim banking(Achana na Internet Banking) lakini mpaka leo kimya, kila tawi wanasema nenda kwenye ATM ujihudumie lakini hakuna kitu na ukirudi tena kwao (ndani) wanasema hizo card zinashida labda kajaribu tawi lao jingine, ukiuliza sababu ya hizo card kuwa na shida au lini shida itaisha,,,, heeheheh utachoka mwenyewe
 
Kama Kimei alijua kuwa taw la CRDB lisingelipa pale Chato halafu akalifungua , as a seasoned banker he acted very unprofessionally na kwa kufanya hivyo ndio maana nikasema alifanya kwa kujipendekeza!! In that regard I am factual.
Whatever!!!!!!!
 
Siamini kama crdb wamekuwa wababaishaji kiasi hiki...

Miezi miwili iliyo pita nilijaza fomu ya kujiunga na online purchasing...

Nikaambiwa nitatumiwa Temporary Access code ndani ya masaa 24. Zikapita siku mbili sijatumiwa hiyo namba, nikamwambia kuulizia kulikoni. Kama kawaida Yao wakaomba namba ya akaunti, namba SITA za Mwanzo za kwenye card number yangu na namba nne za Mwisho. Nikafanya kama walivyo agiza then nikaaambiwa after 24 hours nitatumiwa namba..

Two days later number bado haijatumwa. Nikaamua kwenda makao makuu.
.
wakachukua details zangu nikaaambiwa nitatumiwa namba baada ya masaa 24.

siku tatu zikapita bila majibu. Nikapiga simu.. nikaambiwa Tena ntatumiwa namba baada ya masaa 24..

seven hours later nikatumiwa temporary access code...

Kwenda kwenye website Yao nikafanya kama walivyo elekeza..

Sehemu ya majina yangu nikajaza jina la Mwanzo na la mwisho Kwa herufi kubwa then nikaweka na hiyo temporary access code Yao..

Baada ya Ku click, ikaleta majibu Password and names do not match.

Nikajaribu mara ya pili, password and names do not match.


mara ya tatu nikaambiwa the service has been suspended.

nikapiga simu nikaambiwa ntatumiwa access code nyingine after two hours.

after two hours HAKUNA namba iliyo tumwa, kupiga simu nikaambiwa after twenty four hours natumiwa namba..

toka mwezi wa tatu mwishoni mpaka WA huu WA SITA majibu NI Yale Yale..

Watu wengi wanawalalamikia crdb kuhusu huduma hii.

crdb badilikeni SASA... Vunjeni kitengo chenu cha IT ni wababaishaji mno..

watu tunashindwa kufanya business transactions Kwa sababu ya uzembe na ubabaishaji wa IT experts wenu.


personally nimevunja account yangu ya crdb.

hela zote nimehamishia Standard Chartered Bank..

sijui NI wateja wenu wangapi watakuwa wamefanya hivi.

yani watu wenu wa it wanafanya mambo kienyeji Sana. Like seriously!!! Yani hawawezi kufanya majukumu Yao mpaka uwapigie kuwakumbusha?

This is too unprofessional. Enzi za Kimei hakukuwaga na ubabaishaji kama huu.

IT EXPERTS wa Standard Chartered Wana kitu gani ambacho IT experts WA Crdb hawana?

how comes nimeenda Standard Chartered nimefungua account, Kadi ilivyo kuwa activated nikaenda kujiunga na huduma ya online purchasing na imekuwa activated ndani ya siku moja?


Nitamshauri vp MTU anaetaka kujiunga na huduma ya online purchasing akafungue akaunti Crdb wakati Standard Chartered wapo?

Hata ngombe Hawezi kuyapeleka Makinda yake kunywa maji kwenye kisima chenye maji machafu wakati anajua mahali kilipo kisima chenye maji masafi.

Dunia ya sasa karibu kila kitu kinafanyika online..Taasisi kubwa kama crdb inakuwa na experts wanao fanya ubabaishaji kwenye kitengo muhimu kama hicho inakuwa haimake sense..

Kwa usumbufu mlio nifanyia mngeufanya Kwa mtu kama Mtikila am sure as hell huko mahakamani kungekua na jalada linalosomeka MTIKILA Vs CRBD.

Angewashtaki for the breach of contract

crdb lifanyieni kazi Tatizo haraka iwezekanavyo.

asanteni na kwaherini

Ni moja ya bank ambayo database yake imesheni wateja. Kuwa na wateja wengi tunahitaji maarifa kuwahudumia. Hapo chacha
 
Nilijaza fomu nikaambiwa ninayo access ya ku purchase online nikapurchase fresh tuu bwanaaa wee baada ya siku kadhaa naikuta pesa kwenye acc kwamba process zooote ilikuwa bortion tuuu ngachokaa mie
 
CRDB is a local bank,full of people from nothern part of tanzania.Hata mikopo yao ni ovyo kabisa wanakwapua nssf za watu as if hiyo mikopo haina bima.Kimbia haraka kutoka kwenye hii local bank,wanaoperate chini ya kiwango cha kibubu.
Mzeee kuwa CRDB na nssf wachangiaji wanapata mkopo niende kesho
 
nakumbuka mwaka 2015 baada ya kufatilia sana hizi ishu za kununua vitu kwa mtandao ilibidi niende crdb maana nlikiwa na kadi yao ya atm,

Basi nikaenda pale nlizungushwa sana karibia kwa miezi sita kila nikienda naambiwa nijaze na kusaini fomu flani ivi wananiambia nisubiri mesej, nilienda kama mara 5 nikaona hapa hamna kitu.

Nlichukia bodaboda nikapanda nikaenda mpaka ilipo banc abc, nlitengenezewa account papo hapo na nikapewa kadi ya atm ndani ya nusu saa na nilipouliza kama inaweza kufanya miamala mtandaoni nikaambiwa tayari kila kitu.

nlijaza kadi ile elf 30, nikashauriwa niwe nafanya malipo kwa paypal basi nikajisajili huko nikakatwa kama dola 1 tu sawa na elf 2, nikaingia ebay nikatesti kuagiza cable flani ivi, nikajaza na sanduku la posta, baada ya wiki 2 nlienda posta nikakuta mzigo ushafika nikauchukua.

kuanzia siku hio kwenye mambo ya online nawatumia sana banc abc japo siku hizi huduma imekuwa rahisi sana kupatikana kiasi kwamba hata kwa mpesa unaweza kitengeneza master card ya kufanyia miamala mtandaoni.

Nikiingiaga kwenye email yangu huwa nakuta meseji za crdb za internet banking, inaelekea walisha shughulikia ishu yangu lakini walichelewa sana na sina mpango kuwatumia, Crdb nawatumiaga kwenye kutunza hela tu
 
Inatumiaje local banks na international banks zimejaa tele
With absa u can still trust. 14%still under barclays uk plc. So the british culture z still present with african culture now. N barclays still the big share holder selling the previous shares to other the minority pepke n groups but all they are under 7% which makes barclays the biggest share holder

The rebranding process means allowing african culture to take over while still observing.
 
Back
Top Bottom