sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,099
- 8,727
Nikiwa kama miongoni mwa watumishi wema tulio pewa kazi ya kutoa huduma ya kukusanya madeni kutoka tume ya maendeleo ya ushirika nchini, ninaomba CRDB bank itutafte na kutupa kazi maana sasaiv tunatoa huduma hii kwa takirbani vyama vyote vya ushirika. nchini ambavyo CRDB na TIB imekopesha sana, tumefanikiwa sana kukusanya fedha hizo, na nadhani CRDB imeanza kupata marejesho kwa baadhi ya vyama vya ushirika, changamoto tuliyonayo ni kuwa hatuna makubaliano na crdb kwa hiyo hata tunachokusanya hatuwambii walete benki ila wao wanaamua wao wafanyie nini? lamkini km tukiwa na mahusiano ya kimaslai kati yetu basi tutafanikiwa.