CRDB customer Service HOTLINE number +255754557788 buisy,No relpy,Not reachable


C

CalvinPower

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Messages
1,239
Likes
485
Points
180
C

CalvinPower

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2008
1,239 485 180
Najariblu kupiga namba ya simu iliyopo kwenye visa card ya crdb, customer service HOTLINE lakini kuna muda inakuwa busy. ukijaribu baadae itaita lakini haipokelewi. na ukitulia useme upige tena baadae inakuja na ujumbe not reachable.Naamini simu ilikuwa inafanya kazi nusu saa tu iliyopita, sasa sielewi inapokuwa not reachable maana yake nini?
 
Mziba

Mziba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2010
Messages
239
Likes
16
Points
35
Mziba

Mziba

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2010
239 16 35
Kwani bongo hawana beter business bureau? Kama hawana, nenda pale benki walipokupa kadi. omba numbari na email yake. sisi tuwasiliana na visa if that nesserary. Kwa sababu Visa ni American Company as well. Lakini inawezekana kuna technical error. Kwa hiyo tafadhali, tafadhali ongea na Manager wa tawi walikupatia hiyo magnet. We are trade advocacy group our goal is help business grow faster in Tanzania especially wanakijiji. We are start up starved with capitals, so some of our products have not been rolled out yet, in progress. actually.

We gonna increase banking business in tanzania so CRDB are our prospects. Asante kwa Barua
 

Forum statistics

Threads 1,238,129
Members 475,830
Posts 29,311,425