CRDB Branch Network map on Website

CottonEyeJoe

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
332
66
Kwa benki kubwa kama CRDB huu ni uzembe na aibu, hujui nani anaangalia hizi website as a point of reference, It just shows the level of proffesional imcompetence that still hinders both our private and public sector, Yaani whoever put this map up (tena worst still its a scanned, poorly presented map) hakuona kwamba its empty!!!! Jamani Web designers changamkieni tenda!!!!
 

CottonEyeJoe

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
332
66
LOL! Korosho, I sent an email to them advicing them to do so I know they havent done it because ii just checked again, I am expecting this change to take place sometime in January 2020!!!
 

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
13,191
14,174
The map is empty.....


Unless wamefix tatizo hilo dakika chache zilizopita, lakini mimi naiona inafanya kazi sawasa ikionyesha address za branch zao na idadi ya ATM zilizopo katika kila branch. Kama huzipati, hakikisha kuwa unatumia browser compatible (Internet Explorer 7 or above) yenye plugins zinazohusika.
 

CottonEyeJoe

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
332
66
Apologies are inorder, I am a big fan of open source software (less bugs) so I use Firefox, I still stay the map and branch representation is poorly presented, they could do a better job there, however i believe CRDB having deployed this website in a microsoft .NET enviroment they failed to see whether it is compatible with Firefox or other browsers thus giving there audince or potential customers flexibilty of choice in that regard....... When opened in Firefox the map apears empty.....
 

Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
4,722
3,744
kweli wamefanya vizuri,ila nataka nichangie hoja moja muhimu,hivi Watz wote wanakaa ktk miji mikuu ya mikoa tu? Angalia kwa mfano mkoa wa Iringa,crdb wako mjini Iringa tu. Kutoka Ludewa(wilaya) mpaka Iringa mjini Mkoani) ni kilomita 300 na ushee,wakati kuna miji mikubwa miwili hapo ktkt (Njombe,Makambako,Mafinga) ambako wangeweka huduma zao zingepunguza gharama kwa wazazi wetu waishio vijijini.

Kama haiwezekani kusogeza kwa wakulima wilayani/au miji mingine basi badilisheni jina. Jina lenu lina neno Rural Development,sasa hii rural yenu ni ipi jamani?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom