Generation ya majina ya miaka 1990 ya wafanyakazi wa crdb bank waliostaafu miaka ya 2015-2018 majina hayo sasa hivi ni sir name ya wafanyakazi wengi tu wa crdb bank plc, nenda head office or branches ndo utashangaa, kwa nini hayo majina hayabadiriki, utakuta majina mengine tofauti. Utakuta baba or mama na mwana na vijukuu wamo. Harafu wengi ni zero kichwani, sharobalo, ukienda kwenye mikopo ni kama kila siku wanajifunza, zero IQ, wanataka sana maisha ya haraka ya kuwin maisha through dubious means, Hata Dr kimei alikuwa7na kijana wake alilazimisha kuajiliwa hapo crdb lakini alikuwa zero IQ, aliyekuwa director of human resources kipindi hicho akiitwa Victoria charle, kukataa kumwajili huyo kijana, baada ya Victoria charle kumaliza muda wake hakupewa muda wa kuongeza maana alikuwa strictly woman, ndo akapewa huyo mama mwingine wakaanza kujazana na huyo kijana Wa Dr kimei kuajiliwa. Kila mfanyakazi wa crdb anataka mtoto wake apate ajira crdb, sijui huwa hawana options b, kwa nini wasiwape mitaji wapambane na real life.CRDB BANK juzijuzi mmeita watu kwenye usaili kwenye nafasi ya sales executive ila utaratibu mnaotumia kuwaita watu kwenye usail wa kazi ni wakibaguzi kwa sababu mnatumia njia ya kupiga simu peke yake njia hii si sahihi kwasababu zifuatazo:
1. Simu ya muhusika anaeitwa kwenye usaili ikiwa imezima maana yake ndio kaukosa usaili , na simu kuzima ni kawaida kuna sababu kama kuishiwa charge na kazalika.
2. Njia hii ni ya kibaguzi sababu inafumba fumba waliotwa kwenye usaili wasijulikane
Nawashauri nazani mnamanagement katika kitengo cha human resources ina elimu na uelewa wa kutosha hivyo ili kuondoa mkanganyiko tumieni hizi njia
1. Bandikeni majina ya watu walioitwa kwenye usaili kwenye websight yenu mbona matangazo ya kazi mnaweka.
2. Tumeni ujumbe wa sms kwenye simu za wasailiwa, njia hii ni nzuri endapo simu ya msailiwa imezima kwa muda ujumbe ataupata.
3. Ndiyo, mpige simu
Mwisho njia ya kupiga simu pekee si njia nzuri ni njia ambayo inawanyima wengine kushiriki usaili na njia hii mmekuwa mnaitumia kwa muda mrefu hivyo nyie kama bank huru katika kuajiri, badilikeni.
Sent using Jamii Forums mobile app