CRDB Bank utaratibu mnaotumia kuwaita watu kwenye usaili wa kazi ni wa kibaguzi

CRDB BANK juzijuzi mmeita watu kwenye usaili kwenye nafasi ya sales executive ila utaratibu mnaotumia kuwaita watu kwenye usail wa kazi ni wakibaguzi kwa sababu mnatumia njia ya kupiga simu peke yake njia hii si sahihi kwasababu zifuatazo:

1. Simu ya muhusika anaeitwa kwenye usaili ikiwa imezima maana yake ndio kaukosa usaili , na simu kuzima ni kawaida kuna sababu kama kuishiwa charge na kazalika.

2. Njia hii ni ya kibaguzi sababu inafumba fumba waliotwa kwenye usaili wasijulikane

Nawashauri nazani mnamanagement katika kitengo cha human resources ina elimu na uelewa wa kutosha hivyo ili kuondoa mkanganyiko tumieni hizi njia

1. Bandikeni majina ya watu walioitwa kwenye usaili kwenye websight yenu mbona matangazo ya kazi mnaweka.

2. Tumeni ujumbe wa sms kwenye simu za wasailiwa, njia hii ni nzuri endapo simu ya msailiwa imezima kwa muda ujumbe ataupata.

3. Ndiyo, mpige simu

Mwisho njia ya kupiga simu pekee si njia nzuri ni njia ambayo inawanyima wengine kushiriki usaili na njia hii mmekuwa mnaitumia kwa muda mrefu hivyo nyie kama bank huru katika kuajiri, badilikeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Generation ya majina ya miaka 1990 ya wafanyakazi wa crdb bank waliostaafu miaka ya 2015-2018 majina hayo sasa hivi ni sir name ya wafanyakazi wengi tu wa crdb bank plc, nenda head office or branches ndo utashangaa, kwa nini hayo majina hayabadiriki, utakuta majina mengine tofauti. Utakuta baba or mama na mwana na vijukuu wamo. Harafu wengi ni zero kichwani, sharobalo, ukienda kwenye mikopo ni kama kila siku wanajifunza, zero IQ, wanataka sana maisha ya haraka ya kuwin maisha through dubious means, Hata Dr kimei alikuwa7na kijana wake alilazimisha kuajiliwa hapo crdb lakini alikuwa zero IQ, aliyekuwa director of human resources kipindi hicho akiitwa Victoria charle, kukataa kumwajili huyo kijana, baada ya Victoria charle kumaliza muda wake hakupewa muda wa kuongeza maana alikuwa strictly woman, ndo akapewa huyo mama mwingine wakaanza kujazana na huyo kijana Wa Dr kimei kuajiliwa. Kila mfanyakazi wa crdb anataka mtoto wake apate ajira crdb, sijui huwa hawana options b, kwa nini wasiwape mitaji wapambane na real life.
 
Hawa ndio wakiingia kazini wanaanza kusumbua wateja na mapozi utadhani wateja wanakuja kuhudumiwa bure.....

Ushawahi kwenda benki unakuta madirisha ya teller yapo kama kumi lakini matatu ndio yana wahudumu. Halafu kuna vijana wa kike na wakiume wanajizungushazungusha kila kona wanabeba beba mafaili hata hawaeleweki wana shughuli gani hapo benki.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu kwa nini huwa inakua vile madirisha yanakua wazi yale ya tellers ni kwamba wanakua wameshindwa kuajiri au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu CRDB BANK walitangaza nafasi mara mbili ya kwanza ilikua sales executive nafasi zilikua 100 na ilikua unaomba kwenye email moja tu hii hawakutenga kuomba kwa zones hivyo waliotwa hawakuitwa kwa zones

Nafasi nyingne ilikua business development officer(agency banking) nafasi 100 ambayo yenyewe ilikua mwisho taree 5 february hii ndio maombi yalikua yanafanyika kwa zones yaani waliweka kila zones na email yake hii bado hawajaita

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani Sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Generation ya majina ya miaka 1990 ya wafanyakazi wa crdb bank waliostaafu miaka ya 2015-2018 majina hayo sasa hivi ni sir name ya wafanyakazi wengi tu wa crdb bank plc, nenda head office or branches ndo utashangaa, kwa nini hayo majina hayabadiriki, utakuta majina mengine tofauti. Utakuta baba or mama na mwana na vijukuu wamo. Harafu wengi ni zero kichwani, sharobalo, ukienda kwenye mikopo ni kama kila siku wanajifunza, zero IQ, wanataka sana maisha ya haraka ya kuwin maisha through dubious means, Hata Dr kimei alikuwa7na kijana wake alilazimisha kuajiliwa hapo crdb lakini alikuwa zero IQ, aliyekuwa director of human resources kipindi hicho akiitwa Victoria charle, kukataa kumwajili huyo kijana, baada ya Victoria charle kumaliza muda wake hakupewa muda wa kuongeza maana alikuwa strictly woman, ndo akapewa huyo mama mwingine wakaanza kujazana na huyo kijana Wa Dr kimei kuajiliwa. Kila mfanyakazi wa crdb anataka mtoto wake apate ajira crdb, sijui huwa hawana options b, kwa nini wasiwape mitaji wapambane na real life.
Kuna MTU mmoja kaniita mpumbavu baada ya kusema au bado wanaendelea na mambo ya kaskazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dogo kaambiwa apeleke. Milion 6 hapo CRDB ,apewe ajira

sent from toyota Allex
 
Mfano kupiga simu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Akikupigia simu katika wakati wowote, ukashindwa kupokea, halafu mtu anayekufuatia akaweza kupokea, kama kuna kiboksi cha "Kupokea Simu Kwa Wakati Muafaka" kipo katika hojaji yake ya usaili, mwenzako kashakushinda hapo.

Unajua kwamba wewe unavyozaliwa katika maisha haya, kuna wenzako kama milioni 600 hawajazaliwa jwa sababubkatika soerm cells zilizotika kwa baba yako, soem cell iliyokuwa inakuwakilisha wewe iliwahi kurutubisha yai la mama yako?

Kwa hivyo, kama unataka kutetea watu wasioweza kupokea simu kwa wakati, basi uwatetee na wale wa kwenye soerm cells miliini 600 waliotakiwa kuzaliwa badala yako?

Maana yake, ukae kimya moaka hao miliini 600 uwazidu waweze kuwa na muda sawa wa kusema kama wewe?

Unaelewa haya yote?

Sperms million 600 hazikwenda kwenye usahili wala hazikutuma cv zao wala hawakujibu maswali ya kwenye usahili so siwezi tetea hao na tetea hawa ambao walienda kwenye usahili kwa akili zao timamu ambao hawakuharibika baada ya zaidi ya masaa 72.........alaf ni sperms sio soerm cell rudi shule

Sperm milioni 600 ziligomea kuchavusha yai.

Hivyo zilikuwa katika mashindano ambayo ndiyo sawa na usaili.

You soone you lose.

And you have no ine to blame for it.

Hivi nyie mtaweza kuingia katika siko la ajira la kimataifa kenye mamia ya mamiliini ya watu walio aggressive kama hapi nyumbani tu mnalalama hivi?

Unakutana na muhindi ana MBA, ana Ph.D na ana certifications kumi, yuko aggressive na simu hakosi kupokea hata kama kalala. Na mshahara anaodai mdogo kuliko unaotaka wewe.

Utashindana naye vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo nafasi za sales executive wamepewa hadi ambao hawakutuma maombi

Majina yamejadiliwa kwenye vijiwe vya pombe.

Ni kama nafasi zimeuzwa kwa chochote ambacho unacho na kwa kuwa mkuu wa kitengo hicho ni mwanaume sitaki kutaja jina lake nadhani mmenielewa.

Usishangae sana ndugu yangu, walukutega tuu hata ungeenda usinge pata.

Sent using Jamii Forums mobile app

Are you serious Mkuu?
 
kuna uwezekano akilini kwako anawaza tu mshahara, angejua battle makampuni wanaopigana kupata wateja angekua na nidham sana
Watu wanatafuta kazi ili wapate mishahara, na wengine wanahama taasisi moja kwenda nyingine kwasababu ya mshahara na moja kati ya motivation ya kufanya kazi kwa bidii ni mshahara na allowances.
Wewe unayejidai uwazi mshahara, na ikifika tarehe 20 mnaanza kutusumbua salary imetoka au bado
 
Wewe umeshaona lini nalalamika mishahara?
 
Back
Top Bottom